Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

Hizi taarifa za kilabu cha kahawa, Pentagon ina njia zake za kutoa taarifa ambapo hawajatoa taarifa hiyo.

Ndio maana huna source, umejiandikia tu kwa maoni yako.
 
Urusi kaambiwa akubali vita kuisha au atapigwa vikwazo 😀, Trump hataki utani
Unaandika maneno haya na hujawai hata kufika U.S hujui hata Whitehouse Wala Jengo la Pentagon lilipo unaandika kisa limekuja wazo lako kichwani la kijinga hujawai fika hata Kremlin Wala hata Russia huijui
 
Source? Sioni hiyo habari mbona
 
Unaandika maneno haya na hujawai hata kufika U.S hujui hata Whitehouse Wala Jengo la Pentagon lilipo unaandika kisa limekuja wazo lako kichwani la kijinga hujawai fika hata Kremlin Wala hata Russia huijui
Sasa kuna haja ya kufika US kujua kuwa Urusi kawekewa vikwazo? kazi ya vyombo vya habari nj ipi? mpaka hapa tunapo andika Urusi ana vikwazo kibao kawekewa na US pamoja nchi nyingi za ulaya hakuna siri, NDIO maana Trump anataka Urusi akubaliane na Ukraine kumaliza vita, ikitokea Putin analeta utata anaongeza vikwazo, shida hufatilii mambo yako wazi

 
Hujaelewa sababu ya US kujitoa WHO anaona hakuna usawa kwasababu yeye US analipa pesa nyingi kuliko nchi yeyote ndio maana wanajitoa soma kuelewa, PILI kuhusu ushawishi sasa Urusi hafiki hata robo ya ushawishi wa US duniani yuko nyuma sana bora hata Mchina anaweza kusema kitu sio Mrusi, KUMBE hujui kitu lengo la Trump ni kumaliza vita ,Urusi akibisha anapewa vikwazo vikali mpaka akili imkae sawa kwasababu Trump anajua uchumi wa Urusi hauko vizuri, na Ukraine nae akibisha anatolewa nisaada ya kijeshi, kwahiyo Trump anajua UDHAIFU wa kila nchi hapo hawana cha kumsumbua

TRUMP amesha sema sasa akatae halafu ataona nini kinafata

 
Trump amewez kuchez na akili zenu ndogo kwa kauli mbili ambazo zinawasumbua team Russia and team Ukraine (NATO)
__Kama putin aliambiw amalz vta kwa mapatano na Ukraine
__ Ndan ya muda mfupi ame stop misaada ya kivita kwenda ukraine kwa 100%

Swali :- Ni nan anamaliza hyo vta ?
A:- trump mwenyew
B:- putin
C:- Ukraine

Critical
Tujifunze kuhusianisha na kufikir critical
 
Nobel haitolewi kijinga hivi.
Unajua ya kwamba iddi amin aliwahi kuahidiwa tuzo ya Nobel na israel ikiwa atawaachia mateka raia wao?

Sasa Iddi na Donald unadhan nani anastahili.
 
Hivi wewe unasoma ninachoandika?

Mbona nitakuwa ninarudia kitu kilekile tu!

US anatoa pesa nyingi WHO ndio. Ndiyo maana ya kuwa Superpower, kuwa na ushawishi.

Sasa utakuwa superpower vipi kama unachangia sawa na wenzio?

Kama mke anahudumia familia sawa na mume, hapo mume atakuwaje mkuu wa familia?

Umeelewa hapo nihame, au niendelee kufafanua?

Nahama, kama Trump ana nia njema na Ukraine kwa nini akimbilie kuzuia misaada kabla ya hizo peace talks?

Hivi kuna peace talks gani na mvamizi zaidi ya kumwambia atoe majeshi yake kwenye nchi ya watu?

Hivi unajua kwamba kulikuwa na ushahidi wa wazi wa Urusi kuingilia uchaguzi wa US na kumsaidia Trump kushinda ile awamu yake ya kwanza?

Unajua kuwa bunge la Marekani lilitaka kumu impeach Trump kwa kosa hilo?

Unaweza kumuwekea vikwazo mtu aliekuweka madarakani?, vikwazo gani Trump anaweza kumuwekea BFF wake Vladimil?

Trump ana mpango wa kujitoa NATO, unaelewa kuwa US kujitoa NATO ni kuikabidhi Ulaya nzima at mercy of Russia?

Nguvu pekee dhidi ya Russia ni NATO, US kujitoa na kuivunja NATO, Huoni kuwa ni kumfanya Russia superpower?

Trump anajua yote haya, na anafanya kwa maelekezo toka Moscow.

Trump hakuna raisi pale, rafiki yangu Yoda anapenda kusema Trump ni trojan horse ya Urusi, na yupo sahihi.
 
Angalia movie inaitwa "War Dogs"
Vita ni biashara, kuna watu wanapiga pesa ndefu kutoka serikali I na wanatumia sehemu pesa hizo "kununua wanasiasa" na kaamua Nani aongoze ambaye atalinda biashara zao!
 
Mungu ampe maisha marefu trump
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…