Utawala wa Trump wafuta misaada yote ya silaha kwa Ukraine na uchunguzi unafuata

Umeanza vizuri nikadhani una akili

Yaani trump apokee maelekezo kutoka Moscow?

Hivi huwa mnapata wapi hizi comedies?
 
Angalia movie inaitwa "War Dogs"
Vita ni biashara, kuna watu wanapiga pesa ndefu kutoka serikali I na wanatumia sehemu pesa hizo "kununua wanasiasa" na kaamua Nani aongoze ambaye atalinda biashara zao!
Ni kweli, sasa hii ndiyo inakuwaje?
 
Umeanza vizuri nikadhani una akili

Yaani trump apokee maelekezo kutoka Moscow?

Hivi huwa mnapata wapi hizi comedies?
Mmmh, kama kitu hujui si uulize.

Walipotaka kumu impeach Trump kwa sababu alisaidiwa na Urusi kuingia madarakani ulikuwa na umri gani?, au ulidhani ni comedy?
 
Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi nyingi hapa duniani, hususani kwa nchi ambazo ni dhaifu kijeshi kama hizi nchi zetu za kiAfrika. Ni hatari zaidi kwa nchi ambazo zinapakana na nchi zingine zenye nguvu zaidi ya kiuchumi, kijeshi na zenye Watawala wababe wanaopenda Vita, mathalani majirani zake wote wa Urusi, Rwanda.
Watanzania tusifurahie jambo hili eti kwa sababu Trump anafanya hivyo dhidi ya nchi ya Ukraine ambayo ipo mbali nasi, tukumbuke kwamba tunapakana na nchi ya Rwanda ambayo mtawala wake aliyopo huko anafanana sana na Rais Vladmir Putin kwa misimamo yao. Congo DR ni nchi kubwa sana kuliko Tanzania lakini inahenyeshwa na Rwanda. Aidha, Iran pia ni nchi kubwa sana lakini inahenyeshwa na Israel.
Mwenzako akinyolewa zako tia maji!
 
Acha kuandika ujinga bro
 
Acha kuandika upuuzi bro
 
Acha kuandika kama mtu mpumbafu
 
Acha kuandika kama mtu mpumbafu
You are still a boy, Beira Boy, and i usually dont argue with boys!

Hapa najaribu kuongea na TIMING labda anweza kuwa mtu mzima kidogo, TIMING unamjua Kash Patel, aliyeteuliwa kuwa Director wa FBI?

Bunge la US limejipanga kumkataa kwa sababu ana mawasiano ya mara kwa mara na Moscow.
 
B
Bro Trump ni mzazi kama walivyo wazazi wetu mimi na wewe kwanini unasema kuwa ni mke wa Putin

Hujui hata maandiko bro, huna hata khofu bro unashindwa kuheshimu hata wazazi?

Hebu fikiria kama ndo angekuwa anaandikwa baba yako kuwa mumuwe ni mwigulu chemba

Kuwa Sirius bas
 
Hizi taarifa za kilabu cha kahawa, Pentagon ina njia zake za kutoa taarifa ambapo hawajatoa taarifa hiyo.

Ndio maana huna source, umejiandikia tu kwa maoni yako.
Source hii hapa
 
Na urusi alishasema hakuna makubaliano kama maeneo aliyochukua ataambiwa ayarudishe.....anaweza akapunguza ukubwa ila lazima maeneo muhimu aliyoyataka Ukraine yatabaki kwake
Wakubaliane na Ukraine, vinginevyo Trump akigundua shida ni Urusi basi vikwazo vinakuja, kama shida ni Ukraine anakata misaada yote ya kijeshi, Trump akili kubwa
 
Shida hii nimekwambia Trump kakataa sasa wao kulipa pesa WHO wakati wengine hawalipi kama yeye , anataka kodi za Wamarekani zitumike kwa Wamarekani hili ni suala la kinchi ndio maana wa Marekani wamemchagua, KUHUSU mpango wa kujitoa NATO hili liko wazi kama wanachama wa wengine watashindwa kutimiza kiwango cha uchangiaji ndio atajitoa ila wakitimiza hajitoa sasa hapa napo kuna kipi cha kushangaa, wewe jamaa Trump hawezi kupewa maelekezo na Urusi ambaye sasa hivi anaokoteza askari Korea kaskazini na kusaidiwa silaha na Iran, Mrusi labda atoe maelekezo Burkina Faso sio US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…