Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.