Utawala wake hautatulia abadani

Utawala wake hautatulia abadani

Mshafikia wakati wa kujifanya remote juu ya bi mkubwa miruzi yenu isije wapoteza wenyewe . Hao anaowapanga na kupangua ni watumishi wa umma hivyo ni wajibu wake kujua anaishi na nani na kwa mfumo upi si kujiendea tu kama gari bovu. Ujaona watangulizi wake wakichagua mifanano yao? KILA JAMBO NA ZAMA ZAKE.
 
Watajuana wenyewe. Mwisho wa siku maamuzi yao hayaleteni ahueni yeyote kwa raia wa chini kabisa.

Wakimalizana wenyewe kwa wenyewe labda maisha ya raia wa kawaida yatakuwa na afadhali so let the dead bury each other.
Umenena
 
Duh wewe jamaa unaumia Toka Kijiji gani,hakuna sehemu ambayo kuna watawala na watawaliwa kukawa shwari,lazima kuwe na makundi matatu,wanaokukubali,wanaokupinga na wasio na uelekeo,hat hayati JPM Hali hii ilikuwepo Tena kwa kiasi kikubwa sana.

Kwahiyo hakuna jipya kwa ulichokiandika,maana hata shuleni kwangu tupo makundi matatu,yanayomkubali mkuu was shule,yanayompinga na wale bendera fuata upepo,Sasa kama ka taasisi kadogo kenye watu almost 400 kanakuwa na makundi
,Ni vipi taasisi ya urais ikose kitu kama hicho? Kwani maamuzi ya rais humiza na kufurahisha .
 
Kweli !!
 
Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.

Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.

Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.

Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.

Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.

Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Inadaiwa hii ni akaunti ya Kalemani aliyekuwa Waziri wa Nishati kabla ya Januari Makamba. Tulieni SAMIA afanye kazi, nchi Iko mikono salama
 
Inadaiwa hii ni akaunti ya Kalemani aliyekuwa Waziri wa Nishati kabla ya Januari Makamba. Tulieni SAMIA afanye kazi, nchi Iko mikono salama
Ewaaaaah !! Hapo ndipo panaposubiriwa kwa hamu !!
 
Chuki zako kwa serikali ya awamu ya sita zitakuja kukuua!

Kila siku unaitakia mabaya. Hata hivyo,kwa jinsi mh rais Samia alivyoippnya nchi na kuleta maendeleo makubwa katika kipindi kifupi.. watanzania wamemuelewa!

Kila sekta inapaa. Mapato ya Kodi yamevunja rekodi mwezi Desemba..bilioni 2,700!

[emoji848][emoji848]
 
Japo CCM Ile ILe na mambo yake ya ovyo

Ila Samia ana nafuu maradufu kuliko mZiLaNkeNdE Muyago. A.k.a Jiwe.

Akihakikisha katiba Mpya inapatoka atakuwa the Best president ever to sit kama ambavyo abrahamu Lincoln anakumbukwa na wamarekani .
 
Hata JK tulimshauri hivi hivi kwamba kama anataka aache kitu cha kukumbukwa kizazi na kizazi ahakikishe Katiba mpya inapatikana ! Lakini kilichotokea ni Abracadabra !! Katiba mpya Ziiii ! Tusubiri tuone na ya sasa !
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waache wamvuruge mpemba akasirike atuachie katiba mpya ambayo wao hawataki kuisikia.
Mama Hana cha kupoteza, wanawake tunaridhika mapema sana, kashakua Rais, Hadi hapo CV imejitosheleza.hana makando kando tuseme atang'ang'ania madaraka Ili kulinda interest zake.....

Haters kina Suzy endeleeni kumvuruga apate Moto aachie katiba, ndo mtajua nyie na yeye nani atapoteza!
 
Hakika, ila ni kawaida ya binadamu wengi wenye akili ndogo kuogopa mabadiliko.
Msiogope mabadiliko Kwani ni jambo la kawaida na studies zinaonesha hupelekea better improvement in performance.
 
Naona kuna makundi mawili ndani ya CCM yako mitandani, kule field napo ni kama nayaona hasa nikizingatia upigaji wa zile kura za NEC ulivyokwenda, na sura za wale waliopata kura nyingi.

Swali la kujiuliza hapa ni kwamba, huu mvurugano wao huko CCM utaendelea mpaka lini? na kama ukifika wakati wa kufanya maamuzi mazito kwa chama chao, huu mvurugano unaweza kuwa na impact itakayosababisha kubadili taswira ya uongozi wa CCM, na serikali yake mbele ya safari?

Au huu mvurugano mwisho wa siku utaishia kumezwa na nguvu ya mwenyekiti kama ilivyo thibitika mara kadhaa?

Ukweli ni kwamba, kama hili kundi linalolalamika mitandaoni, ambalo kiuhalisia linaonekana kuwa na nguvu ya ushawishi mpaka kwenye vikao vyao vya maamuzi [ kupiga kura] litajipanga vyema basi kuna jambo zito linaloweza kutokea kwenye siasa zetu kuelekea 2025, ambalo litaweka historia..

Lets wait & see.!!
Hakuna kundi lenye nchi zaidi ya rais.na hakutatokea ndani ya CCM mtu mwenye nguvu,pesa na ushawishi Kama Edward ngoyai Lowasa nn kilitokea ndio ujue hizo kura unazosema zilipigwa kwa wingi waliamua kuziacha Kama zilivyo kwani mwenyekiti angeamua kubadilisha alikuwa anashindwa fikiria Mara mbili
 
Back
Top Bottom