Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia.
Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies, international treaties, ratifications of treaties. and etc
Watanzania yawezekana hamjiulizi vya kutosha Utekaji ni dalili mbaya kwa Taifa lolote ni ishara ya kufa kwa Taifa na watu wake katika kuishi akili timamu na utaratibu katika usahihi wake.
Kuna dhana katika perspectives za kufikiri na kuishi kwa pamoja dhana ya diversity in human ecosystem and creation of human beings huakisi katika uelewa wa kutokukubaliana vs. Kukoseana heshima
Kuna mahakama, Kuna POLICE na taasisi zingine why are we so wicked not to be wise to follow procedures of survival in the human ecosystems and it's protocol?
constitution is our heart why abuse constitution when you have governing procedures, all the machineries and sorber servants working in those machineries?
Je, kweli police sasa imejaa vichaa, wavuta Bangi, imejaa watu wasio na weledi? Watu wasiojua kanuni, taratibu, miongozo na sheria za kazi yao?
Je, tuna Serikali dhaifu kiasi cha kutumia shot cuts na kutofuata utaratibu katika kushitakiana na kuhukumu?
Je, tuna utumishi wa Ikulu ulio na roho mbaya kiasi hicho? Je, tuna Ikulu dhaifu iliyotekwa na watendaji wa vyombo vya dola? Je, ni udhaifu wa Ikulu ikaamua kujificha kwa kutoa uhuru uliopitiliza kwa vyombo vya dola?
Transparency, openness, Democracy, constitution exist by walking the talk. 4Rs za ni nini kama huna maarifa ya kuziishi kwa vitendo hizo 4Rs?
Mzaha mzaha Tanzania ndio inapotea hivyo? au tusubiri kimbunga cha kupigana mapanga?
Matendo ya uonevu kupitia siasa, ushabiki wa kisiasa yanaakisi uonevu wa kuigwa katika nyanja zote katika jamii husika, huruma, upendo na amani havina UChadema, UACT wala UCCM.
Hata ukiwa ni CCM huruma, amani na upendo ni wajibu wa uumbaji, laana ipo ya kutenda na kutowajibika katika kuzuia, kujiepusha na kulinda.
Amani na Utulivu wa Tanzania Msingi wake Mkuu upo kwenye neno NDUGU.
Sisi ni NDUGU
Yangu ni hayo nimetimiza wajibu dhamira yangu ni kukumbushana kuwa wema na kutenda kwa misingi ya sheria
Shukrani 🙏🙏🙏