Watekaji ktk kichaka Cha Allah mpo wengiUnafiki mwingi
NdioKwahiyo unahalalisha utekaji?
Duh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Kama ulivyo wewe km kabisaUnafiki mwingi
Ma ostadh hawawazi kingine zaidi ya kumwaga damu tuKwahiyo utekaji uendelee tuu kwakua ulianza miaka hiyo, nchi imelaaniwa hii
Point yako ni ipi mkuu,kwa hiyo kwa kuwa utekaji ulianza zamani watu wasipaze sauti waendelee kutekwa?Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Watekaji ktk kichaka Cha Allah mpo wengi
Kama ulivyo wewe km kabisa
Magufuli alikuwa ostadh ?Ma ostadh hawawazi kingine zaidi ya kumwaga damu tu
Umeulizwa hapo kwakuwa ulikuwepo 89 ndio mnauendeleza saivi ninyi magaidi kwa mwamvuli wa Allah?Jibuni hoja za mleta mada na mumkosoe kwa akili na kielemu kama alichoandika ni uwongo au makosa na sio kutoka nje ya mada