Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
mbona 1989 karibu
utekaji ulianza tangu enzi za Yesu Kristo, Mayahudi ambao hawakupendezwa na mahubiri na miujiza yake, walifanya njama na kumteka Yesu na Kumsulubu Msalabani!
 
Magufuli alikuwa ostadh ?
Unahamisha magoli swala ni kwamba hatutaki utekaji. Mtoa mada alimpimga magufuli kwenye utekaji lakini Leo anamsapoti Samia kama sio utekaji na mauaji kwa jina la Allah tusemeje basi?

Binafsi magufuli kwenye swala la utekaji ubinywaji wa demokrasia niliweka wazi kabisa sikubaliani naye. Sasa ninyi mnaonhozwa na hisia za ki madinnah akikalia KITI wa Imani yenu hata akinywa mamilioni ya damu mnaishia kusema hewala.
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Madogo wakawafungia kwenye majumba huko bandarini,na warioba akaenda kuwasimanga na kuwatisha
Duh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.

Niliwahigi kuwaulizia humu Post in thread 'Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?' Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?
Merry Christmas
P
Na mtendaji mkuu wa serikali(waziri mkuu) alikua active kwenye hilo
 
Duh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.

Niliwahigi kuwaulizia humu Post in thread 'Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?' Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?
Merry Christmas
P
Matiko Matare alipata kichaa kisha akafariki huko mikoa ya kwao. Basigiza alifia hapa hapa Dar. Hatun Kimaro aliishia kuwa mganga wa kienyeji huko Zimbabwe.

Usicheze na mfumo, unapotea na tunakusahau
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
1989 Warioba alikuwa rais? Sasahivi anaolaumiwa ni Samia au Mwigilu?
 
Duh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.

Niliwahigi kuwaulizia humu Post in thread 'Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?' Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?
Merry Christmas
P
Kapitie kwenye uzi wako mbona ulijibiwa ukitaka maelezo zaidi tembelea makao makuu lumumba
 
Huu unawatoa watu fulani utu sana huu
1000640486.jpg
 
TANZANIA TUNA JANGA LA HESABU, BILA KUAJIRI WAALIMU WA HESABU HATUTATOKA HAPA TULIPO!!!
 
mbona 1989 karibu
utekaji ulianza tangu enzi za Yesu Kristo, Mayahudi ambao hawakupendezwa na mahubiri na miujiza yake, walifanya njama na kumteka Yesu na Kumsulubu Msalabani!
Mauaji yalianza na Kaini kwa ndugu yakeHabili pia
 
Back
Top Bottom