Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje

..hata tukikubaliana kwamba Maraisi wote waliteka, na kuuwa, kuna ambao wamewazidi wenzao katika uovu.

..sasa hebu tupe mpangilio wa Raisi aliyeuwa kuliko wote, mpaka aliyeuwa wachache.

..uwezekano mkubwa Mama Abduli na Baba Jesca wameteka, kutesa, na kupoteza, kuliko watangulizi wote.

..Mama Abduli huenda yeye anashikilia rekodi ya kuuwa idadi kubwa kwa wakati mfupi.

Cc Nguruvi3
 
Hivi kuna sababu gani ya msingi ya kutumia nguvu nyingi kujaribu kuwashawishi watu kwamba barbaric acts a by government ni vitu vya kawaida?
Serikali inakujibu kwa namna unavyokuja. Ukija kwa mjadala, mtaongea na ukija kwa vurugu utavurugwa. Hiyo ndiyo kazi ya state organs
 
kwahiyo utekaj uendelee tu , asikemee mtu ?
Umetaja watu hawazif kumi ila ss hv wameuliwa watu krb 10 elf na ww akil zako zinakutuma umuone mbaya mkosoaj na sio muuaji

Haya mamb soon yataingiza hadi Zanzibar
Hao 10,000 umewahesabu kivipi? Kwa kutumia taarifa za CNN?
 
Kwahiyo unathibitisha kuwa haya ya utekaji na kupotea kwa watu kipindi cha Samia ni sawa na anafuata waliyofanya watangulizi wake? That means UNAHALALISHA?
Siyo sawa
 
..Warioba hata ukitaka kumlaumu kwa kuteka huwezi kulinganisha na alivyoteka na kupoteza Mama Abduli.

..kwa msingi huo Warioba anao uhalali na haki ya kukemea udhalimu wa kutisha uliofanywa na serikali Oct 29.

..Zaidi kabla ya uchaguzi Mzee Warioba alifanya jitihada za kuwakutanisha Ccm, Serikali, Chadema, Tume, lakini upande wa serikali na Ccm ulimpuuzia.

..Kwa msingi huo, Mzee aliyefanya jitihada za kuepusha maafa yaliyotokea Oct 29 hastahili kuchafuliwa kama hivi mnavyofanya.
Ile ya 29/10 haukuwa udhalimu bali counter offensive dhidi ya waharibifu wa miundombinu ya umma
 
Serikali inakujibu kwa namna unavyokuja. Ukija kwa mjadala, mtaongea na ukija kwa vurugu utavurugwa. Hiyo ndiyo kazi ya state organs
Tangu lini protesting imekuwa na maana ya vurugu?

Hakuna nchi ambayo huunda Serikali na mifumo yake ili kushamirisha barbaric acts. Governments are there to rein in barbaric acts, not to amplify them. Ndiyo maana tuna sheria. Kazi ya Serikali ni kusimamia sheria na kuhakikisha transgressions zote zinashughulikiwa kwa mujibu wa sheria!
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Ni muda sahihi wa kumfuatilia hatua baada ya katua katika safari ya Jaji Warioba nyakati zile akiwa madarakani.
Asijifanye kuwa yeye ni msafi sana na mtoa ushauri mzuri leo wakati alishindwa kumpa ushauri mzuri ndugu yake Nyerere.
 
Tangu lini protesting imekuwa na maana ya vurugu?

Hakuna nchi ambayo huunda Serikali na mifumo yake ili kushamirisha barbaric acts. Governments are there to rein in barbaric acts, not to amplify them. Ndiyo maana tuna sheria. Kazi ya Serikali ni kusimamia sheria na kuhakikisha transgressions zote zinashughulikiwa kwa mujibu wa sheria!
Yale hayakuwa maandamano bali ni magenge ya uwizi, uharibifu na fujo
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Yale hayakuwa maandamano bali ni magenge ya uwizi, uharibifu na fujo

..kwanini kulikuwa na wizi?

..kwanini kulikuwa na uharibifu?

..kwanini kulikuwa na fujo?

..kwanini kulikuwa na MAUAJI?
 
..kwanini kulikuwa na wizi?

..kwanini kulikuwa na uharibifu?

..kwanini kulikuwa na fujo?

..kwanini kulikuwa na MAUAJI?
Kuhusu mauaji soma Newton's Third Law of Motion: states that for every action, there is an equal and opposite reaction

Huwezi kuwachekea watu wanachoma mabasi, petrol station, Police station. Watu wanaiba na kuharibu miundombinu
 
Wewe mwenyewe ulikuwa unalaani utekaji enzi za Magu.😀

Leo ghafla umekuwa mtetezi wa watekaji.
 
Back
Top Bottom