Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
..hata tukikubaliana kwamba Maraisi wote waliteka, na kuuwa, kuna ambao wamewazidi wenzao katika uovu.
..sasa hebu tupe mpangilio wa Raisi aliyeuwa kuliko wote, mpaka aliyeuwa wachache.
..uwezekano mkubwa Mama Abduli na Baba Jesca wameteka, kutesa, na kupoteza, kuliko watangulizi wote.
..Mama Abduli huenda yeye anashikilia rekodi ya kuuwa idadi kubwa kwa wakati mfupi.
Cc Nguruvi3