Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Utekaji ulikuwepo toka enzi za ukoloni.Nakumbuka kipindi hicho waingereza waliwateka sana waafrika.pamoja na kuwa utekaji upo toka zamani lakini utekaji kipindi Cha Samia umezidi sana.
 
..mwaka 1989 ni kipindi cha kwanza cha Mzee Mwinyi.

..upo uwezekano kwamba kuna Watanzania walitekwa ktk kipindi hicho.

..tukio ambalo anahusishwa nalo Mzee Warioba ni lile la kumtishia kiongozi wa wanafunzi wa chuo kikuu Matiko Matare.

..Lakini naweza kusema Mzee Mwinyi alijitahidi kutokumwaga damu ukilinganisha na wenzake.

..huwezi kulinganisha matukio ktk utawala wa Mzee Mwinyi na Warioba akiwa Makamu, na udhalimu na unyama ktk tawala za Magufuli, na Samia.
Tunahangaika na wafamaji.
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
kwahyo utekaj usikemewe ?
 
Matiko Matare alipata kichaa kisha akafariki huko mikoa ya kwao. Basigiza alifia hapa hapa Dar. Hatun Kimaro aliishia kuwa mganga wa kienyeji huko Zimbabwe.

Usicheze na mfumo, unapotea na tunakusahau
kwahiyo utekaj uendelee tu , asikemee mtu ?
Umetaja watu hawazif kumi ila ss hv wameuliwa watu krb 10 elf na ww akil zako zinakutuma umuone mbaya mkosoaj na sio muuaji

Haya mamb soon yataingiza hadi Zanzibar
 
Nilimpinga Magufuli ni kweli, ila Mama alianza vizuri ndiyo maana nilimuunga mkono. Waliotufiksha hapa ni akina Tundu na Heche walipoanza kubeza maridhiano kupitia 4R. Wanataka Ikulu kwa KUKINUKISHA
Tundu Lissu kafanya usaliti kwa kushirikiana na mabeberu wa makinikia
Tundu Lissu kafanya mpango wa kujipiga risasi kuichafua nchi
Tundu Lissu kaharibu 4Rs za mama
Hii ni vita ya uchumi wa madini adimu na uranium
TEC hawampendi kwa sababu ni muislamu
TEC wanachochea vurugu na vita
Tumeshinda kwa 98%
Pumbavu zenu.
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Kwahiyo unathibitisha kuwa haya ya utekaji na kupotea kwa watu kipindi cha Samia ni sawa na anafuata waliyofanya watangulizi wake? That means UNAHALALISHA?
 
Mbona baba yako alimteka msichana akambaka ukazaliwa wewe mwendawqzimu ukamuita huyo msichana mama
 
Halafu leo anauliza kwa nini Jeshi liliambiwa lijiandae? Anatuletea na takwimu za kuokoteza kwa Larry Madowo juu ya idadi ya waliokufa
Mzee Warioba ana miaka 84 angekubaliana na ukweli kwamba wakati umeshamkimbia akabaki nyumbani kwake, heshima yake ingeendelea kuwa juu.

Kuamua kuendelea kutaka asikike mara kwa mara anazidi kujiweka kwenye nafasi ya kukosolewa na kuvunjiwa heshima.
 
Mzee Warioba hakuwa maarufu miaka ile akitumikia vyeo vya juu serikalini kuliko alivyo maarufu katika siku zake za ustaafu.

Akiwa Attorney General tulikula sana ugali wa yanga, tukavaa nguo za vitenge vya kupika mtaani msoto ulikuwa mkali sana.

Anakosoa kwa sababu anaona kutokea nje yale yanayofanyika yakiwatoa jasho viongozi wakuu wa Tanzania.

..Mwanasheria Mkuu anahusika vipi na kadhia ya watu kula ugali wa yanga.

..hayo ni mambo yanayowahusu Mawaziri wa Fedha, Kilimo, na Viwanda, wa wakati huo.
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje

Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023 inaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu ikiwemo Kuteka kuua kuzikwa katika makaburi ya halaiki, nk

Hivyobasi, intellijensia wote wenye wito wa special duties Sheria inawaruhusu kufanya Jinai ya Uaminifu Ikiwemo Kuteka kwa maana ya kufanya intelijensia na counter intelligence ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Asante
 
..Mwanasheria Mkuu anahusika vipi na kadhia ya watu kula ugali wa yanga.

..hayo ni mambo yanayowahusu Mawaziri wa Fedha, Kilimo, na Viwanda, wa wakati huo.
Mshauri mkuu wa Rais anahusika moja kwa moja, anaapa kwanza Rais anayefuatia Mwanasheria Mkuu.

Nchi inaweza kukaa bila ya Waziri Mkuu lakini haiwezi kuwepo bila ya AG.
 
Nakubaliana na wewe kimsingi. Ila Warioba hakuwa mtu wa kusema hayo, yeye mwenyewe alishafanya

..Warioba hata ukitaka kumlaumu kwa kuteka huwezi kulinganisha na alivyoteka na kupoteza Mama Abduli.

..kwa msingi huo Warioba anao uhalali na haki ya kukemea udhalimu wa kutisha uliofanywa na serikali Oct 29.

..Zaidi kabla ya uchaguzi Mzee Warioba alifanya jitihada za kuwakutanisha Ccm, Serikali, Chadema, Tume, lakini upande wa serikali na Ccm ulimpuuzia.

..Kwa msingi huo, Mzee aliyefanya jitihada za kuepusha maafa yaliyotokea Oct 29 hastahili kuchafuliwa kama hivi mnavyofanya.
 
Mshauri mkuu wa Rais anahusika moja kwa moja, anaapa kwanza Rais anayefuatia Mwanasheria Mkuu.

Nchi inaweza kukaa bila ya Waziri Mkuu lakini haiwezi kuwepo bila ya AG.

..Warioba alikuwa AG mueledi kuliko hawa tulionao sasa hivi.

..angalia jinsi Warioba akiwa AG alivyosimamia kesi ya uhaini ya kina Hatibu Gandhi, halafu ulinganishe na kesi ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu.
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Pumbavu huna akili
 
..Warioba alikuwa AG mueledi kuliko hawa tulionao sasa hivi.

..angalia jinsi Warioba akiwa AG alivyosimamia kesi ya uhaini ya kina Hatibu Gandhi, halafu ulinganishe na kesi ya uhaini dhidi ya Tundu Lissu.
Huyu wa sasa ni mweledi sana, kafanya mengi ya maana sana kuanzia wakati JPM akiwa Rais mpaka alipokuja kuchaguliwa na SSH.

Kalifufua ATCL shirika la ndege kaliwezesha shirika hilo kupata tuzo maalum wakati JPM akiwa bado hai.

Mikataba mingi nyeti iliyosainiwa kuanzia mwaka 2016 amehusika, hivi sasa kuna maongezi kuhusiana na LNG anaendelea na maongezi pia.

Kesi ya Lissu ushahidi upo wazi kabisa, anajua hawezi kuchomoka kirahisi labda wakubwa waamue kumuachia kwa sababu zao binafsi.
 
..kesi ya TL ni aibu kubwa kwa mahakama, na serikali nzima.

..kama unaamini kesi ile iko sawasawa basi utakuwa na matatizo makubwa.

..AG Johari ndio amempotosha Raisi kuhusu sheria mpya ya uchaguzi na kilichotokea Oct 29 na matokeo ya ushauri huo mbaya.
 
Back
Top Bottom