Kwa hiyo Bi Nywinywi hana jipya!Mauaji yalianza na Kaini kwa ndugu yakeHabili pia
Kwahy tumekubaliana JPM hakuanzisha utekaji?Tumepekua mafaili baada ya Warioba kung'aka na kujifanya ana mikono safi
Timeline ya hayo mkuu kama hutojali,huyo wa uchizi ni uchizi wa haki au kemikali?Matiko Matare alipata kichaa kisha akafariki huko mikoa ya kwao. Basigiza alifia hapa hapa Dar. Hatun Kimaro aliishia kuwa mganga wa kienyeji huko Zimbabwe.
Usicheze na mfumo, unapotea na tunakusahau
Haya mashambulizi yanayofanyika yanachangia serekali kujifunga. Sasa ni dhahiri mmeanza kukiri hadharani kuwa wanaoteka ni serekali na sio watu wasiojulikana. Na mkiona mmenza kutawala kww kuteka na ikawa ndio njia pekee ya kutawala ujue hamkubaliki na siki zenu zinafikia kikomo.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Rudisheni na utumwa maana Kila kitu kibaya cha zamani kwenu ni sahihi.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Jibuni hoja za Jaji Warioba acheni porojoKatika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Mie sijamsikia tena Damian Babile.Duh umenikumbusha mbali!, sikujua Bazigiza na Matiko Matare waliuliwa, kuna yule binti Sikitiko Kapile, sijui kama alisalimika, sijawahi kumsikia tena!.
P
Mzee Warioba hakuwa maarufu miaka ile akitumikia vyeo vya juu serikalini kuliko alivyo maarufu katika siku zake za ustaafu.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Kwa sababu ushoga ulianza tangu zamani ni halali?!Jibuni hoja za mleta mada na mumkosoe kwa akili na kielemu kama alichoandika ni uwongo au makosa na sio kutoka nje ya mada
Ule mgomo wa 1989 nadhani alikuwepo pia James Mbatia.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Mimi nadhani ameongelea ukubwa wa tatizo kwamba lilianza siku nyingi,,hii haimaanishi liendelee....Ni kama vile mtu kueleza makosa ya kuua yalianza siku nyingi hii haimanishi yaendelee.Umeulizwa hapo kwakuwa tulikuwepo 89 ndio mnauendeleza saivi ninyi magaidi kwa mwamvuli wa Allah?
We mbwa Rais alikuwa Nani kipindi hicho?Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Wanamchukia Samia kwa sababu ya uchochezi na ujinga wa udini unaojificha kwenye ID za humu kwenye majukwaa ya kisiasa.We mbwa Rais alikuwa Nani kipindi hicho?
Jiulize why watu wanachukua Samia na kumkubali Majaliwa?
Two wrongs don't make it right.Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.
Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.
Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.
@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje
Kwa kweli huyu mama amejitahidi sana na hasa kuiendeleza ile miradi ya gharama kubwa iliyoanzishwa kwenye awamu ya tano,,, Hata hivyo anayo mapungufu yake lakini haimaanishi hana mema.....Katika mpira ameshinda goli 2 kwa 1,,,,hili alilofungwa ndio watu wameamua liwe ndio agenda kuu ya kujadili😁.....Wanamchukia Samia kwa sababu ya uchochezi na ujinga wa udini unaojificha kwenye ID za humu kwenye majukwaa ya kisiasa.
Zunguka huko mikoani uone anachokifanya huyu mama kwenye miradi mikubwa na midogo.
Bandari ya Tanga inaenda kufanana na hii ya Dar, Foleni kule Deep Sea foleni ile njia ya kutokea bandari house.Kwa kweli huyu mama amejitahidi sana na hasa kuiendeleza ile miradi ya gharama kubwa iliyoanzishwa kwenye awamu ya tano,,, Hata hivyo anayo mapungufu yake lakini haimaanishi hana mema.....Katika mpira ameshinda goli 2 kwa 1,,,,hili alilofungwa ndio watu wameamua liwe ndio agenda kuu ya kujadili😁.....