Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Utekaji ulianza mwaka 1989, Jaji Warioba akiwa Waziri Mkuu

Unahamisha magoli swala ni kwamba hatutaki utekaji. Mtoa mada alimpimga magufuli kwenye utekaji lakini Leo anamsapoti Samia kama sio utekaji na mauaji kwa jina la Allah tusemeje basi?

Binafsi magufuli kwenye swala la utekaji ubinywaji wa demokrasia niliweka wazi kabisa sikubaliani naye. Sasa ninyi mnaonhozwa na hisia za ki madinnah akikalia KITI wa Imani yenu hata akinywa mamilioni ya damu mnaishia kusema hewala.
Nilimpinga Magufuli ni kweli, ila Mama alianza vizuri ndiyo maana nilimuunga mkono. Waliotufiksha hapa ni akina Tundu na Heche walipoanza kubeza maridhiano kupitia 4R. Wanataka Ikulu kwa KUKINUKISHA
 
Mlikuwa kipindi cha giza, ni kama ukoloni na utumwa..sasa hivi vijana na dunia haikubali
Vijana wenyewe wako wapi? Wangekuwa na akili wasingechoma miundombinu ya Serikali kwa vile ni mali ya walipa kodi wa nchi hii
 
Mleta mada ni mpumbavu uliyetukuka. Hujui Warioba alipishana na Rais Mwinyi hadi kufanya atake kujiuzuru mpaka Mwinyi akavunja Baraza la Mawaziri na kumuacha mwaka 1990.
Hizo topic mbili tofauti wewe bwege. Mimi mwaka 1990 nilikuwa nime graduate na ninafanya kazi Serikalini. Hakuna nisichokijua kuhusu Mwinyi na Warioba
 
Waziri mkuu siyo Amir Jeshi mkuu, ndiyo maana hatumlaumu Kassimu Majaliwa kwa yaliyofanywa na vyombo enzi za JPM au Samia
 
Jibuni hoja za Jaji Warioba acheni porojo

Leteni takwimu za watu waliuwawa na ccm tarehe 29 tulinganishe na idadi ya waliuwawa na Idd amini Ili tuipinge kauli ya Warioba
Umeita wanafiki wenzako wajiunge kupitia VPN sio ??

Hii nchi inaongozwa na genge la wahuni kwakweli hawataki kujibu hoja
Chukua hiyo hiyo ya Warioba halafu ongeza za kwako
 
Stuxnet u mwovu, ilikuwa ukiaminisha watu kuwa utekaji ulianzishwa na Magu kilipoanzishwa kikoisi kazi.

Funga mdomo wako mchafu.
Magufuli alianzisha kikosi ndani ya mfumo kikiwa chini ya Makonda
 
Kwahiyo wee pimbi unataka tuendelee na utaratibu huo huo
wakutekana?
 
We mbwa Rais alikuwa Nani kipindi hicho?

Jiulize why watu wanachukua Samia na kumkubali Majaliwa?
Nani anamkubali Majaliwa? Majaliwa yupi? Labda yule wa Zimamoto aliyeokoa watu kwenye Precision Air, ila usiniambie huyu wa Ruangwa
 
Mwaka 1989 Raisi alikuwa Mwinyi lakink
Sijamtaja Mwinyi bali nimemtaja aliyekuwa PM. Kwa taarifa yako Warioba alikwenda UDSM yeye mwenyewe in person na watu wa mfumo kwa ajili ya kuwateka kina Bazigiza
 
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na maeehemu Matiko Matare.

Ni rahisi kukosoa ukiwa nje ya mfumo lakini ukiwa ndani unakuwa huna namna.

Hata leo Mzee Jaji Joseph Warioba akipewa Urais wa Serikali ya Mpito, watu watatekwa na watauliwa tu.

@brazj, Pascal Mayalla , MTAZAMO , Kimbunga, Mzee Kigogo , Ileje

Acha upotoshaji. Joseph Matiko Matare bado yu mzima na
wa afya tele.
 
Back
Top Bottom