Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Nafikiri Trump anataka Wafundisha Marais wa Africa waache ufisadi.. Trump ana taarifa zote za Billions of Dollars viongozi Africa. ..wanazoogelea nazo huko mabenki ya Ulaya.

Now it's Time. Tutajua ukweli
 
effectivelly misaada itakoma lini? Labda serikali ina stock ya kutosha huko MSD mpaka tramp atakapoamua kurejesha misaada tena
 
... Uliza Kenya wamejipangaje! ... Tanzania mambo yanaenda kuwa poa sana, tuna vigezo vya kukopa na World bank wanalitambua hilo!
BONGO HAS A CLEARANCE TO SMOOTH TRANSITION!

SAGA CHUPA UMEZE! 😅
Poa 🤣, ila unajua gharama za ARVs kwa mwaka ni how much ? Achilia hayo maeneo mengine…… just ARVs!

Kijana mtauza nchi kwa mikopo, mtakuwa hamkopesheki tena
 
Mabeberu..(In JPM's voice)
 
Kuna mtaalamu ameeleza vizuri sana kuhusu jambo hilo leo asubuhi BBC SIKILIZA HAPA
 
Baada ya Rais Kikwete atakuja Rais mweusi mchapa kazi, hata hivyo ataongoza kwa kipindi kifupi, ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi,”… Sheikh Yahaya"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…