Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

challenge kama hizi ni kipimo sahihi sana kwa taifa lenye viongozi wenye wanaimbwa na kusifiwa wka weledi. ni wakati sasa tuone ukuu wao katika kupigania maslahi ya watu wao. thegood thing is nchi inazo resource nyingi, ila kama kweli wameuza basi itafahamika...ngoja kwanza tuanze kuzikana kama kumbikumbi ndo tutajua kama yaliyomo yamo kweli au la.
 
Ngoja iwe hivyo na waimba mapambio wapungue

Huwenda zile bango za viongozi wetu nchi nzima, kulipia magoli ya Simba na Yanga, sherehe za kuzaliwa viongozi wetu zikaisha ili sasa kila fehda iende kwenye matumizi sahihi

Pumbavu sana machawa wote, huwenda sasa poshow zenu zikaishia hapa

Trump umebarikiwa

Akili sasa zitaturudia na hatutachagua viongozi kwa pupa
 
Kule Mwadui tumeachiwa mashimo tu kwa sasa.

Wakimaliza DP wanaangalia maini mengine
 
Kuna nilikua nabishana na wapuuzi fulani nikamwambia waafrica sisi bado sana kujitegemea vitu vingi tunawategemea wazungu wakawa wanabisha ohooo tuna rasilimali nyingi hatuwez kuwategemea wao tena nakumbuka niliwatolea mfano huu huu kuhusu ARV nikamwambia hizo dawa tunapewa msaada wakisema kila mtu anunue watu hawataweza haya sasa Trump hyo kachezesha kidogo watu wanaanza kulia lia
 
Ila wasanii watachanga

Si walijaa dodoma….. kuwa anatekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…