zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Gesi ya mtwara ilishauzwa kitambo sasa hivi wanaendelea kujipimia tu, tunaambiana nishati safi kisha gesi tunauziana bei juu na gesi tunayo pale imelala tumeiuza nje kwa sababu tumepoteza akili kichwaniKule Mwadui tumeachiwa mashimo tu kwa sasa.
Wakimaliza DP wanaangalia maini mengine
Tundu Antipas Lissu ndiye anaweza kuendana na kasi ya Donald Trump.Wakati umefika sasa tutumie weredi katika kuchagua viogozi bora
Kenya Baraza la Afya limekutana Jana kumjadili TrumpUongo
Hao ulioorodhesha ni kina nani ndiyo waganga au wachawi wakuu nchini Tanzania? Naomba kuelimishwa.Je ni Babu wa Samunge, Ambilikile Mwasapile? Au ni Dr. Ndondi ndio tegemeo la taifa? Au tutaokolewa na Ngoka Eleven?
Kila mtu kununua haitowezekana. moja ya Dawa gharama individally ni hizo. Hatotoboa mtu …. Halaf hizo ni dawa za MAISHA. Haiendi kuponya bali inapunguza makali….. unatumia till deathKuna nilikua nabishana na wapuuzi fulani nikamwambia waafrica sisi bado sana kujitegemea vitu vingi tunawategemea wazungu wakawa wanabisha ohooo tuna rasilimali nyingi hatuwez kuwategemea wao tena nakumbuka niliwatolea mfano huu huu kuhusu ARV nikamwambia hizo dawa tunapewa msaada wakisema kila mtu anunue watu hawataweza haya sasa Trump hyo kachezesha kidogo watu wanaanza kulia lia
Kukopa tena kwa matumizi ambayo lengo sio kuzalisha? Tutalipaje?... Uliza Kenya wamejipangaje! ... Tanzania mambo yanaenda kuwa poa sana, tuna vigezo vya kukopa na World bank wanalitambua hilo!
BONGO HAS A CLEARANCE TO SMOOTH TRANSITION!
SAGA CHUPA UMEZE! 😅
Wasanii wa TZ hakuna hata mwenye Master's unategemea niniIla wasanii watachanga
Si walijaa dodoma….. kuwa anatekeleza
Kama utapenda msome Mohammed Saeed Al-Sahaf, Comical Ali. Story yake is so fascinating..
Nishati ni kwa ajili ya kunufaisha mabeberu. Hakuna mkoa masikini kama mtwara….. wana gesi na korosho….. ila CCM dahGesi ya mtwara ilishauzwa kitambo sasa hivi wanaendelea kujipimia tu, tunaambiana nishati safi kisha gesi tunauziana bei juu na gesi tunayo pale imelala tumeiuza nje kwa sababu tumepoteza akili kichwani
Wewe ni mchina ?Kenya Baraza la Afya limekutana Jana kumjadili Trump
Sisi tuna Bahati Wachina ni ndugu zetu 🐼
🤣🤣🤣 Mama amekuwa mzuri kweli kweli tangu aingie ikuluTulisikia kipindi cha nyuma sisi ni matajarii tembeeni "kifua mbere" ndugu zangu hatutegemei mabeberu.
Sasa tukaambiwa mama anupiga mwingi anatoa pesa za kununua magoli , kujenga madaraja, visima vya maji , barababara na kadhalika kumbe huyu mama ni tajiri.
Sasa hivyo vitu awanunulie huyo mama yenu msitusumbue.
So utekelezaji ushaanza mkuu au mm ndo nipo nje ya mudaHeee kama ni kweli tena ?
Mama awanunulie hizo dawa ,vifaa tiba na vitendanishi.🤣🤣🤣 Mama amekuwa mzuri kweli kweli tangu aingie ikulu
Penda kujifunza, just Google them uwajue kwa kinaHao ulioorodhesha ni kina nani ndiyo waganga au wachawi wakuu nchini Tanzania? Naomba kuelimishwa.
Kwa upande wa ajira za NGOs/INGO ambao vibarua vyao vinatokana na kuwa funded na USAID hii haiwahusu?Kwani kuna ajira gani sasa hivi?
Zitakuwa au zishakuwa ? Kuna mahali ninesoma USAIDS imeamuru mishahara kusitishwa mara Moja Kwa ofisi zake zote zilizo nje ya MarekaniKama nikweli mbona kama ajira za watu zitakuwa matatani wooooi..
... kuna vijitu vijinga muda wote vimekaa masikio kama popo kusikiliza Habari mbaya zitakazowafanya viongozi wao washindwe kumudu kuliendesha taifa ili siasa zao pinzani ziwe rahisi!Mawazo na akili za Trump hazitofautiani sana na za wafuasi wa Lissu.
yaan acha tu, Bandari imeenda, migodi ya dhahabu karibu yote mikubwa ina wenyewe. sisi tunasikia tu watu wanaupiga mwingi., ngoja sasa tuone na hii ndo #2025.Kule Mwadui tumeachiwa mashimo tu kwa sasa.
Wakimaliza DP wanaangalia maini mengine