Utekelezwaji wa agizo la Trump; Je, Rais Samia amejipangaje ?

Rudia tena kusoma hapo ulichoandika, tutakua na nani wakati wewe una hali ngumu wenzio wanazunguka kwenye viyoyozi ndani ya V8 unapigwa vumbi tu hapo na kiredio chako cha kuita wateja kwenye biashara yako ambayo haitoki
Mkuu kuna watu wanapitia magumu japo waishi na VVU hata pesa ya kufata dawa ambazo ni bure kituo cha afya ni mtihani mmarekani alikuwa anafadhili dawa mpaka mobile clinic kupeleka dawa..umemfikiria huyo mtu akisitiwa dawa hali yake itakuaje?tammbua si yeye tu atakuwa hatarini hata ww pia maana wiviu tuniashi nao na tunafamana nao mtaani japo hali zao za kiafaya hatuzijui..umefikiria maambukizi yatasambaa kwa kasi kiasi gani maana si wote wataaford kununua dawa za kufubaza VVU.. kiujumla wote tutakuwa hatarini ..kumbuka sio wote wamepata maambukizi kwa zinaa wengine wamezaliwa nao achana na hao wanaobadili matumizi ya Pesa kununua V8 kwao dawa /lishe sio tatizo angalia mtanzania mwenzio tena mwenye hali duni..KUMEZA DAWA KILA SIKU SIO POA WEE
 
Nishati ni kwa ajili ya kunufaisha mabeberu. Hakuna mkoa masikini kama mtwara….. wana gesi na korosho….. ila CCM dah

Tanzania Hadi kesho umeme ni shida mmh
Gesi imeuzwa wamakonde wapo palepale leo unaongelea nishati safi gesi ipo pale gesi yenyewe gharama juu kichwani unawaza nini?
 
Nmeona taarifa kwamba mahakama imezuia agizo hili kutekelezwa kwa sasa
 
Mimi nawajua mkuu yaani unaongea na mtu mwenye experience ya kuishi nao kwa muda mrefu kwa hio najua nini kinafuata, tuchimbe makaburi ya kutosha yaan ni zaidi ya Mobugi
 
Misaada yenyewe huwa haiwafikii wananchi sababu ya ubinafsi wa viongozi.
 
Mahakamani wapi Kisutu?
Marekani huko huko ila nimerudi kusoma hapa nimegundua haihusiani na Aid za afrika ila imezuia kuzuia funds na grants za federal programs za huko huko nchini kwake.
So, bado oda yake kwa Afrika na misaada ipo pale pale.
 
Maza ana pesa za kutosha kila siku anagawa. Hatuna wasiwasi.
 
Mimi nawajua mkuu yaani unaongea na mtu mwenye experience ya kuishi nao kwa muda mrefu kwa hio najua nini kinafuata, tuchimbe makaburi ya kutosha yaan ni zaidi ya Mobugi
Mungu aepushie aisee ila soln itapatikana hata kwa dawa zetu za asili maisha yataenda ..tutafunguka akili watanzania tutacha kutegemea misaada .
 
Marekani huko huko ila nimerudi kusoma hapa nimegundua haihusiani na Aid za afrika ila imezuia kuzuia funds na grants za federal programs za huko huko nchini kwake.
So, bado oda yake kwa Afrika na misaada ipo pale pale.
Sijaelewa unaenda mbele halafu unarudi nyuma kipi ni kipi
 
Misaada yenyewe huwa haiwafikii wananchi sababu ya ubinafsi wa viongozi.
Kinachowafikia walengwa ni kiduchu mno bajeti kubwa inaishia kwenye ghrama za uendeshaji..mishahara/posho, semina.
Imagine shirika linaendesha ufadhili kwa watoto ambao wanamarafiki huko ulaya ila hawaruhusiwi kuwasiliana au kupena no za simu wao kwa wao bila kupitia shirika..zawadi zinatumwa hazifikii walengwa na mzungu haruhusiwi kutuma pesa moja kwa moja kwa mnufaika wa mradi.. huo ni uonevu.
Wanaotoil kufanya kazi kufanikisha malengo ya mradi malipo kiduchu mno wanaopanga hawajui hata field kukoje na hawajawahi kufika still wanakudai ufikie malengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…