Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Vilikuwa 50kHiko kiwanda wamefanya hivyo kupunguza hasara. Unazalisha umuuzie mfugaji let say una stock ya vifaranga 4000 unasubiri vitoke hakuna wanunuzi utafanyaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilikuwa 50kHiko kiwanda wamefanya hivyo kupunguza hasara. Unazalisha umuuzie mfugaji let say una stock ya vifaranga 4000 unasubiri vitoke hakuna wanunuzi utafanyaje
Hii biashara imeingiliwa na wahuni.Niliacha kufuga kwa sababu nina rafiki yangu anafanyakazi kwenye mojawapo ya hivi viwanda na akaniambia Msanii usihangaike na kufuga kwa sababu viwanda wanalipwa na makampuni ya nje kusitisha utotoleshaji na ikatumika mbinu ya kuongeza bei ya vyakula vya kuku..... kisa kilikuwa ni yale matukio ya kuchoma vifaranga kutoka nje. Waliamua kumkomesha Magu wakidhani yeye ndo anafuga
Gharama za utunzaji zimekuwa kubwa mno nadhani hata bei za vyakula vya kuku ni ghali sana hii imefanya wengi wasifuge tena........Walishindwa nini kuwagawa bure hao vifaranga badala ya kuwachoma?
Serikali ipewe hivyo vifaranga kulisha kunguru wao weusi. Badala ya kuwaacha wazaliane na kutumalizia kuku na ndege wetu!Kupitia taarifa ya habari jana jumatatu saa mbili usiku azam tv imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo kilichofanywa na uongozi wa kiwanda hicho ni cha kinyama tena kinyama mno,
Kwa kweli nimepigwa na butwaa baada ya kusikiliza habari ile na kumshuhudia mmoja wa wafanyakazi akitupia box moja baada ya jingine juu ya moto mkali huku vifaranga vikilia kwa uchungu!..aisee imeniuma mno.
Sababu za mkurugenzi:
Walivisafirisha vifaranga hivyo hadi Dar ili viuzwe kwa tsh 1000@..biashara ikawa ngumu kwa sababu ati kuna watu wengi sasa hivi wana ingiza vifaranga toka nje hivyo soko limetibuka..wakaamua washushe bei hadi tsh 900...bado hawakupata soko..wakaamua mzigo urudi kiwandani Moshi huko nako wakatangaza bei ya tsh 900 ikashindikana..uamuzi wao wa mwisho ukawa ni kuwateketeza kwa moto mkali!
Tuiombe serikali kitengo cha watu wa mifugo au kama bado ipo taasisi ya kutetea wanyama iwafuatilie wamiliki wa kiwanda hiki na ikibidi wachukuliwe hatua kali ili iwe onyo kwa wengine watakaofikiria kufanya upuuzi huu.maana mkurugenzi wao ameshasema kuwa vifaranga wengine laki nane na nusu wanatarajiwa hivi karibuni na hajui pa kuwapeleka.
Nimejiuliza kwanini basi hata huku Dar na Moshi wasivigawe kwa mtu yeyote atakayeweza kutunza?hata kama mtu angechukua 20 mwingine box 4,mwenye vifaranga 60 nk wangetangaza tu hadharani..au kuwatangazia hata majeshini,vyuoni pengine wangejaribu kuwakuza vifaranga hao wa nyama na mayai.
Nimalizie kwa kusema kitendo kile ni cha kishetani na hakina budi kulaaniwa na serikali ichukue hatua stahiki na hili lisijirudie.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wangeamua kuvigawa bure je???hapo pana utata inawezekana hata wao hawajapenda ila mazingira yalikuwa ni limited kwao! Maana ilikuwa inatakiwa kuvilisha na kuvitibu kila siku, so kuliko kubiacha vife na njaa wameona bora vichomwe tu
Mbna hata binadamu original kutoka kwa Allah ni wawili tuu (Adam na Hawa). wengine sisi ni utundu wa binadamu.Kwanza naomba niseme hao siyo vifaranga original walioumbwa na Mungu or Allah, hao ni matokeo ya utundubwa mwanaadam.
Pili wangekuwa Og ambao wangeweza kujilisha wenyewe nadhani hata staff wa kiwanda wangebeba na kwenda kuwamwaga kwenye cage sababu wanatafuta na kufukua chakula popote.
Pamoja na yote kuku wa machine hana haki wala sheria ya kumlinda, kuku gani ukimuweka stendi ya daladala aondoki wala ageuki!.
Wengine wanawaita kuku zezeta 😀😀😁🙄Kwanza naomba niseme hao siyo vifaranga original walioumbwa na Mungu or Allah, hao ni matokeo ya utundubwa mwanaadam.
Pili wangekuwa Og ambao wangeweza kujilisha wenyewe nadhani hata staff wa kiwanda wangebeba na kwenda kuwamwaga kwenye cage sababu wanatafuta na kufukua chakula popote.
Pamoja na yote kuku wa machine hana haki wala sheria ya kumlinda, kuku gani ukimuweka stendi ya daladala aondoki wala ageuki!.
Hao watakuja wamejifunza huu ubaya kwa 'jiwe'. Unakumbuka wale vifaranga wa Kenya pale Namanga?Kwa hiyo mfanya biashara anaweza kuona ni heri avichime kuliko kushusha bei akauza japo 500tsh akapata nusu bei? Hivyo vifaranga vina corona.
Walete sababu nyingine ila hizo ngonjela wadangaye wajinga
Kheri wangevitoa kwa makazi ya wazee na yatima ili wavifuge, nashauri serikali ichukue hatua dhidi ya wahusika wa kitendo hicho kiovu.Kupitia taarifa ya habari jana jumatatu saa mbili usiku azam tv imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo kilichofanywa na uongozi wa kiwanda hicho ni cha kinyama tena kinyama mno,
Kwa kweli nimepigwa na butwaa baada ya kusikiliza habari ile na kumshuhudia mmoja wa wafanyakazi akitupia box moja baada ya jingine juu ya moto mkali huku vifaranga vikilia kwa uchungu!..aisee imeniuma mno.
Sababu za mkurugenzi:
Walivisafirisha vifaranga hivyo hadi Dar ili viuzwe kwa tsh 1000@..biashara ikawa ngumu kwa sababu ati kuna watu wengi sasa hivi wana ingiza vifaranga toka nje hivyo soko limetibuka..wakaamua washushe bei hadi tsh 900...bado hawakupata soko..wakaamua mzigo urudi kiwandani Moshi huko nako wakatangaza bei ya tsh 900 ikashindikana..uamuzi wao wa mwisho ukawa ni kuwateketeza kwa moto mkali!
Tuiombe serikali kitengo cha watu wa mifugo au kama bado ipo taasisi ya kutetea wanyama iwafuatilie wamiliki wa kiwanda hiki na ikibidi wachukuliwe hatua kali ili iwe onyo kwa wengine watakaofikiria kufanya upuuzi huu.maana mkurugenzi wao ameshasema kuwa vifaranga wengine laki nane na nusu wanatarajiwa hivi karibuni na hajui pa kuwapeleka.
Nimejiuliza kwanini basi hata huku Dar na Moshi wasivigawe kwa mtu yeyote atakayeweza kutunza?hata kama mtu angechukua 20 mwingine box 4,mwenye vifaranga 60 nk wangetangaza tu hadharani..au kuwatangazia hata majeshini,vyuoni pengine wangejaribu kuwakuza vifaranga hao wa nyama na mayai.
Nimalizie kwa kusema kitendo kile ni cha kishetani na hakina budi kulaaniwa na serikali ichukue hatua stahiki na hili lisijirudie.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Exactly [emoji817]...Kupitia taarifa ya habari jana jumatatu saa mbili usiku azam tv imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko!
Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo kilichofanywa na uongozi wa kiwanda hicho ni cha kinyama tena kinyama mno,
Kwa kweli nimepigwa na butwaa baada ya kusikiliza habari ile na kumshuhudia mmoja wa wafanyakazi akitupia box moja baada ya jingine juu ya moto mkali huku vifaranga vikilia kwa uchungu!..aisee imeniuma mno.
Sababu za mkurugenzi:
Walivisafirisha vifaranga hivyo hadi Dar ili viuzwe kwa tsh 1000@..biashara ikawa ngumu kwa sababu ati kuna watu wengi sasa hivi wana ingiza vifaranga toka nje hivyo soko limetibuka..wakaamua washushe bei hadi tsh 900...bado hawakupata soko..wakaamua mzigo urudi kiwandani Moshi huko nako wakatangaza bei ya tsh 900 ikashindikana..uamuzi wao wa mwisho ukawa ni kuwateketeza kwa moto mkali!
Tuiombe serikali kitengo cha watu wa mifugo au kama bado ipo taasisi ya kutetea wanyama iwafuatilie wamiliki wa kiwanda hiki na ikibidi wachukuliwe hatua kali ili iwe onyo kwa wengine watakaofikiria kufanya upuuzi huu.maana mkurugenzi wao ameshasema kuwa vifaranga wengine laki nane na nusu wanatarajiwa hivi karibuni na hajui pa kuwapeleka.
Nimejiuliza kwanini basi hata huku Dar na Moshi wasivigawe kwa mtu yeyote atakayeweza kutunza?hata kama mtu angechukua 20 mwingine box 4,mwenye vifaranga 60 nk wangetangaza tu hadharani..au kuwatangazia hata majeshini,vyuoni pengine wangejaribu kuwakuza vifaranga hao wa nyama na mayai.
Nimalizie kwa kusema kitendo kile ni cha kishetani na hakina budi kulaaniwa na serikali ichukue hatua stahiki na hili lisijirudie.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo ukiwachoma ndo unakwepa hasara?Hiko kiwanda wamefanya hivyo kupunguza hasara. Unazalisha umuuzie mfugaji let say una stock ya vifaranga 4000 unasubiri vitoke hakuna wanunuzi utafanyaje
haulagi nyama?Ujue kutoa uhai wa kiumbe ni ukatili uliopitiliza, Mimi hata kuchinja
Ee kuliko vingekufa ni bora wameviokoa kwa kuviteketeza kwa moto[emoji706][emoji706]hapo pana utata inawezekana hata wao hawajapenda ila mazingira yalikuwa ni limited kwao! Maana ilikuwa inatakiwa kuvilisha na kuvitibu kila siku, so kuliko kubiacha vife na njaa wameona bora vichomwe tu
Mzee kipi ni bora kati ya kufa kifo cha mateso kwa siku 20 na kufa ndani ya dk 1?. Vyote ni Vifo ila kipi kinauma zaidi?Ee kuliko vingekufa ni bora wameviokoa kwa kuviteketeza kwa moto[emoji706][emoji706]