Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

Acha ujinga basi japo kidogo sio wote waliofukuzwa kazi hawana sifa wengine hawana hatia yoyote na wakafukuzwa kwa uonevu kwakuwa hawana ma godfather kama ulivyo ww

Kwa jinsi unavyotililika ushuzi hapa yamkini hukustahili kuwepo kazini mpaka sasa ni hao godfather wako ndio wanaokuweka mjini

Ila angalia wasije kukula kiboga
 
Na matusi juu? Kila la heri mkuu[emoji1317]
 

HAWANA MFUMO MZURI WA UWAJIBIKAJI, CAG-UKAGUZI WAKE PALE UNATAKIWA UWE STRICTLY watu wanakaa na kesi za watu muda mrefu na wanazishughulikia kibaguzi, staff wa hapo wengi hawana uwezo mzuri kuchambua mashitaka na mwenendo wake. Rais Samia saidia hapa mama. watumishi wanateseka sana na chombo hiki kinapoteza maana au la kivunjwe itumike mahakama na CMA
 
Ni wapi Rais anatia saini barua ya mtumishi aliyefukuzwa kazi
 
CMA is a wrong place to go after President decision, the right place is HC, amigo

CMA hawana jurisdiction ya kujadili uamuzi wa Rais
Hii ya CMA kutokuwa na mamlaka ya kujadili uamuzi wa Rais kwenye Rufaa nafikiri bado haijatolewa uamuzi wa kufuata (precedent) kwa kuwa bado haijafika Mahakama ya Rufaa wakaitolea uamuzi.

Kuna muamuzi (arbitrator) alikuwa CMA Tanga kama sikosei alieleza vyema sana kwenye uamuzi wa Pingamizi kuwa Rais anapotoa uamuzi wa Rufaa huwa anakuwa kama chombo cha kusimamia nidhamu serikalini, hafanyi kama Rais kuwa anatoa tamko administratively, hivyo sio lazima au sio sahihi kulipinga kwa marejeo (judicial review).

Baada ya Rufaa kutoka kwa Rais mtazamo wake (ambao na mimi naungana nae) ni kuwa hapo tayari mtumishi anakuwa amemaliza njia za ndani (exhausted the local remedies) na hivyo anakuwa huru kufungua mgogoro kwa njia rasmi zilizoelekezwa kisheria, yaani kufungua mgogoro CMA. Position hii, Mahakama kuu wameipinga lakini haikufika Mahakama ya Rufaa kwa uamuzi wa mwisho. Siku ikifika tutapata uelekeo sahihi.
 
Hata kama bado unasubiri hiyo precedent ya CAT, kwa jicho la kawaida na interms of seniority CMA is very pre matured ku deal na kesi ambazo zimeshatoka kwa Rais baada ya uamuzi wake, even if wata deal nalo shuri hilo hawatakuwa kuwa huru katika utendaji wao...

So the only place to review the President's decision is HC where there are Judges ambao kwa nafasi zao na kama hawatazongwa na ukada pamoja na influence ya Government wanaweza kutoa uamuzi wa haki lkn siyo mediators and Arbitrator's
 
La msingi ni kilichoamuliwa sio nani kasaini ili mradi awe na mamlaka halali ya kufanya hivyo
Haki sio tu itendeke ionekane ikitendeka, watumishi ktk ofisi ya Rais nao ni binaadamu wanaweza kuwa influenced na wenzao wa Tume ya utumishi wa umma na kuendelea kukandamiza haki za mtumishi.

Hivyo napinga ile hoja ya kuwa, Mwajir akuonee, Tume ikuonee, na Rais akuonee pia, hilo linawezekana amigo, watu wanalindana wanajua madudu yao waliyoyafanya so once mtumishi anashinda rufaa yake na kurudi kazini kuna watu hali zao zitakuwa mbaya.
 
Kwann wewe? Kwani kazini si mlikuwa wengi, kwanini ufukuzwe wewe? Lazima una shida mahali
 
Kwann wewe? Kwani kazini si mlikuwa wengi, kwanini ufukuzwe wewe? Lazima una shida mahali
Ondoa huo ujinga kichwani amigo, waliokupeleka shule itakuwa walipata hasara sn ,

Kwa namna unavyojibu unaonesha una shida pahala sio bure, we mwenyewe una kiri kwamba rufaa zaidi ya 600 zinashughulikiwa harafu unauliza kazini mpo wengi kwa nn ww tu,

Watoto wako wakirithi akili kama zako itakuwa ni hasara kwa Kaya na Taifa pia
 
Acha kunilalamikia kwa ujinga wako. Nenda Dodoma walipohamia. Ufukuzwe ka upumbavu wako unakoromee mimi
 
Hamna mjinga hapa ila ukilaza wako utapelekea hasara kwa wanao vilevile, watarithi kitu gani kama baba sijui mama yao ni mjinga kiasi hiki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo yangu na wanangu yanakuhusuje? We pambana na rufaa yako mi Tume nshahamaga miaka kadhaa huko
 
UTUMISHI WA UMMA NI UTUMWA NA NI BALAA!!!!!.
TANZANIA NCHI YANGU TUNAFELI WAPI?
 
CMA kuwa inferior kwa maamuzi ya Rais kwenye masuala ya kazi ni assumption tu mkuu, labda inahold water kwa kuwa tupo katika nchi isiyoheshimu utawala wa sheria. Na ikiwa dhana ya seniority ni hiyo, basi hata CAT bado hawawezi kuwa superior kwa maamuzi ya Rais kama vile ambavyo umesema Majaji wa HC wanaweza kuzongwa na ukada. Hakuna anayeweza kuwa juu ya Rais. Kwa lugha rahisi, hapa tutakuwa tunazungumzia uwezo wa watu binafsi (personal) na sio uwezo wa taasisi uliowekwa kisheria. Kisheria, mfano Baraza la Kata (japo ndio ngazi ya chini kabisa kimahakama) kama lingekuwa limepewa uwezo kisheria wa kubariki au kubatilisha maamuzi ya Kamishna au Rais kwenye masuala ya kurevoke haki za ardhi, lingefanya jambo hilo kwa uhuru tu sababu ni mamlaka liliyonayo kisheria, na nchi inaendeshwa kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…