othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Acha ujinga basi japo kidogo sio wote waliofukuzwa kazi hawana sifa wengine hawana hatia yoyote na wakafukuzwa kwa uonevu kwakuwa hawana ma godfather kama ulivyo wwMpigie simu kabisa maana naona unateseka sana.
Unahisi.kwa mfano bado ningekuwa Tume ningekaa natafakari rufaa yako tu kati ya rufaa za watu maelfu ambao tayari wana vielelezo.
Sikia nshakuambia sio.msemaji wa Tume so usinikoti pambana na hali yako. ungekuwa na sifa ya kufanya kazi saivi usingekuwa umefukuzwa. Wenye sifa bado tupo mzigoni
Kwa jinsi unavyotililika ushuzi hapa yamkini hukustahili kuwepo kazini mpaka sasa ni hao godfather wako ndio wanaokuweka mjini
Ila angalia wasije kukula kiboga