Utendaji Mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma; Rais Samia tupia jicho lako hapo

Mchakato nimekueleza

Ningekuwa "mweupe kichani" ningeshafukuzwa kazi ila bado nadunda

We uliye "mweusi" kichwani wamekula kichwa
Huna habari waajiriwa wengi sana ni vilaza? Soma taarifa ya aliyekuwa CAG Prof. Assad uone jinsi mlivyo weupe kichwani! Bila godfather ungekuwa unalima matikitimaji!
 
Huna habari waajiriwa wengi sana ni vilaza? Soma taarifa ya aliyekuwa CAG Prof. Assad uone jinsi mlivyo weupe kichwani! Bila godfather ungekuwa unalima matikitimaji!
😆😆😆😆halafu kwa ukilaza wa TUME eti wanamtumia mtu kama huyu awatetee!! Shame on them!!
 
Huna habari waajiriwa wengi sana ni vilaza? Soma taarifa ya aliyekuwa CAG Prof. Assad uone jinsi mlivyo weupe kichwani! Bila godfather ungekuwa unalima matikitimaji!
Asante kwa taarifa we mwenye akili kuuubwa mbona unalalama[emoji1787][emoji1787]
 
Ni miungu watu hao, hata experience ya kazi hawana
Yaani TUME hawana experience ya kazi??[emoji848][emoji848][emoji848] kazi gani unazungumzia??

Maana ineanza kazi mwaka 2004

Experience inaanzia.muda gani?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]halafu kwa ukilaza wa TUME eti wanamtumia mtu kama huyu awatetee!! Shame on them!!
We pimbi ushaoshwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwajiri wako alipata shida saana acha tu upigwe chini na kwa akili kama hizi sidhani kama utatoboa

Kama nlivyotangulia kusema mi ni TUME ALUMNI, so sijatumwa na ofisi nakufafanulia facts

Najua ushaelewa ila ila unaleta ligi ya KIJINGA watu washakuelewa na unajidhalilisha

Kama unadhani unaichafua Tume unajidanganya
 
We boya bado unamtetea Muhoji tu, duh amakweli kuna mijitu ni kama Kenge yaani hata lipigwe vipi haliamini mpaka litoke Damu masikioni TUME ULAJI haina nafasi mnatia aibu , sijui umepewa shilingi ngapi kukomaza misuli kutetea upuuzi, hakuna TUME hapo mbona mgumu kuelewa wewe
 
P
Pole sana Ndugu, mimi siko huko sijawi ajiliwa na Serikali kama wewe isipokuwa tunaangalia mambo hasa utendaji wa TUME in a global perspective, don't be so much defensive my friend.

Issue sio kwamba unawaelewa au unawafahamu, the central issue here ni utopolo wa TUME nothing more nothing less!!
 
Sa kama hujaariwa unalalamikiaje UTENDAJI WA TUME na hauujui?
 
.....tena ni Kenge Blue kabisa!!! Muhoji has totally failed to lead this institution!!! Hopeless kabisa!!
 
People look things in a global perspective na wanazitest hypothesis zao, sio lazima uwe unafanya kazi serikalini!!
Unazungumzia vitu huvijui unataja jina la kiongozi ambaye kwanza.ameshastaafu unamchafua.

Unachafua tawswira ya ofisi.

Acha UJINGA anza kukua hicho kichwa usifugie nywele pekee[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kuhusu muda niwasemee.wanaenda na wakati.nilipeleka rufaa yangu pale ndani miezi 8.nikawa nimejibiwa japo majibu hayakuwa mazuri.kuhusu uonezi hilo halipingiki.nilipokuwa nakata rufaa tume.mwajiri aliniambia siwezi toboa niende niendako.mimi nilikata rufaa hivyohivyo.pamoja na vielelezo vyote vya uhakika.tume ilikataa rufaa yangu.kielelezo kimoja wapo ni ushahidi wa mtoto aliyedai kupewa majibu na mimi alipohojiwa na kamati.huyo mtoto huo mwaka hakufanya mtihani.nikweka nakala za matokeo za miaka yote.ili tume ione kuwa ni kweli huyo mtoto hakufanya mtihani huo mwaka.sasa nilimpaje majibu mtoto asye mtahiniwa?nikirejea kauli za mwajiri.naona kama walikuwa na connection.nipo tayari kuweka hapa ushahidi wangu wote.kwa hoja.nidhahiri shahiri.tume ilinionea
 
Asante kwa compliment.

Pole kwa majibu mabaya ila si ulipewa nafasi ya kukata rufaa kwa Mh. Rais ulifanya hivyo ukashinda kama Tume ilikuonea?
 
Unazungumzia vitu huvijui unataja jina la kiongozi ambaye kwanza.ameshastaafu unamchafua.

Unachafua tawswira ya ofisi.

Acha UJINGA anza kukua hicho kichwa usifugie nywele pekee[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Kustaafu kwa mtu ni kitu kimoja na UTOPOLO alioufanya Tume ni kitu kingine, don't be shallow minded please!!
 
Kustaafu kwa mtu ni kitu kimoja na UTOPOLO alioufanya Tume ni kitu kingine, don't be shallow minded please!!
We umeliwa kichwa kaa kwa kutulia

Sio hujaajiriwa UMEFUKUZWA!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We umeliwa kichwa kaa kwa kutulia

Sio hujaajiriwa UMEFUKUZWA!!!
Unaleta mizaha kwenye serious issues!!
We umeliwa kichwa kaa kwa kutulia

Sio hujaajiriwa UMEFUKUZWA!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

We umeliwa kichwa kaa kwa kutulia

Sio hujaajiriwa UMEFUKUZWA!!!
[emoji2w3]
 
Unaleta mizaha kwenye serious issues!!
Huo ndio ukweli.

nakuangalia unadai "OOOH ETI SIJAAJIRIWA!!"

Unalalama nini kama hujaajiriwa??
Sema ukweli kwa aliajiriwa ila kwa UPUUZI wako
watu wakala kichwa next time omba ushauri
Kama shauri lako nimechukua muda jua hakuna hujuma zozote dhidi yako

na kwa taarifa yako HAKUNA mtu anaweza kuingilia shauri la mtumishi hata awe katibu mkuu.

Huwezi kuishawishi Tume kutoa uamuzi kwa manufaa yako.

Soma Sheria ya Tume ya Utimshi wa Umma Kifungu cha 19
nimekuwekea hapa chini.

Mamlaka yako ya Nidhamu HAIWEZI KUSHIRIANA NA Tume kukuhujumu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…