Tanganyika 2020
Member
- Feb 7, 2014
- 47
- 46
Huyo mkaguzi aende tu. Ni imani yangu kwamba utapata haki yako ni suala la muda tu
Nadhani umeamua kubishanaWewe EISTEIN 112 hapo ndio mwisho wa uelewa wako? ebu tupatie mfano wa kesi iliyoamuliwa kuwa CMA haiwezi tena kushughulikia malalamiko ya watumishi wa umma. Hapo unatupa wasiwasi maana wewe ni mtendaji wa TUME na inaonekana hujui sheria. Sasa maamuzi yenu (TUME) yatakuwa ya haki kweli kwa watumishi wa umma?
Hadi itakapoamuliwa au unataka kwenda wapi??Muda zaidi ya mwaka hujui nini kinaendelea? nisubiri hadi lini?
Ziko nyingi tu nakushangaa kama hujui. Kwa hiyo kesi zote wanazoamua TUME zinashindwa mahakamani? Ujanja mmojawapo wanaofanya TUME wakishirikiana na waajiri ni kuchelewesha sana maamuzi ili watumishi wakate tamaa kutafuta haki kwa Rais na baadae mahakamani.Acha uongo nime mfano wa maamuzi ya Tume kushindwa mahakamani nipe mfano mmoja tu
Nadhani umeamua kubishana
nimeeleza kuwa Mtumishi wa umma ukiwa na na shida dhidi ya Mamlaka yako ya Nidhamu/ Mwajiri sehemu pekee unapotakiwa kukata rufaa au kulalamika ni TUME YA UTUMISHI WA UMAA na sio CMA? na usiporiadhika na maamuzi ya TUME unakata Rufaa kwa Mh. Rais
Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2019 yamewaondoa watumishi wote wa Umma CMA
ukiamua kuendelea kubishana endelea mi nshamaliza
We huna facts umekaa kubishana tu sasa fuata taratibu zzinavyotaka huko mahakamani pia una rum ya kwenda ukishindwa na Rais, hakuna mtu anakuhujumua, ujinga wako ndio ulikufanya ukafukuzwa kaziZiko nyingi tu nakushangaa kama hujui. Kwa hiyo kesi zote wanazoamua TUME zinashindwa mahakamani? Ujanja mmojawapo wanaofanya TUME wakishirikiana na waajiri ni kuchelewesha sana maamuzi ili watumishi wakate tamaa kutafuta haki kwa Rais na baadae mahakamani.
Mkuu haya nenda huko CMA kama hawatakurudisha.Jamani enhe someni case ya John Mongella HC Labour Division meruhusu kwenda CMA tena ukitaka nenda CMA moja kwa moja achana na hao Tume. Ni ndani ya siku 30 baada ya kufukuzwa
We huna facts umekaa kubishana tu sasa fuata taratibu zzinavyotaka huko mahakamani pia una rum ya kwenda ukishindwa na Rais, hakuna mtu anakuhujumua, ujinga wako ndio ulikufanya ukafukuzwa kazi
Mkuu haya nenda huko CMA kama hawatakurudisha.
Barua yako ya kufukuzwa kazi PARA YA MWISHO umeelezwa ukate rufaa wapi?? Fuata naelekezo sio kubishana.
jaribu hivi wakata Tume wanaendelea na mchakato wa shauri lako peleka pia CMA shauri lako yaende pamoja
Rejea ELRA Act of 2004 baada ya ku-exhaust local/internal remedies na case ya John Mongella Vs PSSF ya High Crt Labour Division imetoa ufafanuzi. Ina maana hayo huyajui kama Mtumishi wa TUME?Nadhani umeamua kubishana
nimeeleza kuwa Mtumishi wa umma ukiwa na na shida dhidi ya Mamlaka yako ya Nidhamu/ Mwajiri sehemu pekee unapotakiwa kukata rufaa au kulalamika ni TUME YA UTUMISHI WA UMAA na sio CMA? na usiporiadhika na maamuzi ya TUME unakata Rufaa kwa Mh. Rais
Mabadiliko ya Sheria ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2019 yamewaondoa watumishi wote wa Umma CMA
ukiamua kuendelea kubishana endelea mi nshamaliza
Mtu mwenyewe anataka ushauri basi????Kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji mbovu wa Tume ya Utumishi wa Umma ikiongozwa na ndugu Muhoji aliyezungukwa na wasaidizi vilaza wavivu kutumia akili katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma walioonewa na waajiri enzi zile!
Kumekuwa na biasness kubwa sana katika kushughulikia rufaa za watumishi wa umma pale Tume.
1. Tume imekuwa ikishirikiana na waajiri katika kuhujumu haki za watumishi.
2. Rufaa zimekuwa zinakaa kwa muda mrefu bila kuzitolea maamuzi. Ningefurahi sana kujua kama kuna kipengele chochote kinachoibana Tume kuhusu muda.
3. Maafisa wa Tume hawako makini katika uchambuzi wa rufaa za watumishi.
4. Maafisa wa Tume wamekosa customer service or care kwenye kazi zao na hivyo kupelekea wwtumishi wanaokwenda kuulizia rufaa kuwafanya kama maadui, they are so defensive and protective.
5. Wamekuwa wakipewa rushwa na waajiri ili watumishi wakandamizwe ktk kudai haki zao kwasababu waajiri wengi wamekuwa wakiwabambikkiza makosa watumishi wao.
Hivyo basi, tunaomba Mh. Rais Samia tupia jicho lako kwenye hiyo Tume, wanafanya kazi kwa mazoea na kuminya haki za watumishi.
Acha wakunyooshe unaonekana kabisa kichwa unafugia nywele tu hamna akili hapo unaelekezwa bado unabishana ngoja nikuacheWewe mgumu kuelewa mwepesi kusahau ndo mana maamuzi yenu hovyo.
Hii case unayoirejea ina uhusiano gani na TUME?? Nikusahihishe kidogo mi sio mtendaji wa Tuame nlishahama kitamboRejea ELRA Act of 2004 baada ya ku-exhaust local/internal remedies na case ya John Mongella Vs PSSF ya High Crt Labour Division imetoa ufafanuzi. Ina maana hayo huyajui kama Mtumishi wa TUME?
Rejea ELRA Act of 2004 baada ya ku-exhaust local/internal remedies na case ya John Mongella Vs PSSF ya High Crt Labour Division imetoa ufafanuzi. Ina maana hayo huyajui kama Mtumishi wa TUME?
Kwa hiyo mnaamua kesi ilimradi kwa kurukia kuwa UJINGA WAKO NDIO ULIKUFANYA UKAVUKUZWA KAZI? Sasa Mtu wa kuhusu bila kusikiliza kama wewe na wenzako hapo TUME mtaweza kutenda haki kweli? Hapo si mpo tu kupoteza fedha za umma na baadae kuumbuka mahakamani? Ndio maana tegemeo lenu pekee ni rushwa na sasa itawatokwa puani maana mtagundulika na kutupiliwa mbali.We huna facts umekaa kubishana tu sasa fuata taratibu zzinavyotaka huko mahakamani pia una rum ya kwenda ukishindwa na Rais, hakuna mtu anakuhujumua, ujinga wako ndio ulikufanya ukafukuzwa kazi
Mkuu haya nenda huko CMA kama hawatakurudisha.
Barua yako ya kufukuzwa kazi PARA YA MWISHO umeelezwa ukate rufaa wapi?? Fuata naelekezo sio kubishana.
jaribu hivi wakata Tume wanaendelea na mchakato wa shauri lako peleka pia CMA shauri lako yaende pamoja
We lialia ila mimi nimekupa utaratibu, kama Tume ikiumbuka sio swala lako, we subiri maamuzi ya shauri lako usonge mbeleKwa hiyo mnaamua kesi ilimradi kwa kurukia kuwa UJINGA WAKO NDIO ULIKUFANYA UKAVUKUZWA KAZI? Sasa Mtu wa kuhusu bila kusikiliza kama wewe na wenzako hapo TUME mtaweza kutenda haki kweli? Hapo si mpo tu kupoteza fedha za umma na baadae kuumbuka mahakamani? Ndio maana tegemeo lenu pekee ni rushwa na sasa itawatokwa puani maana mtagundulika na kutupiliwa mbali.
Ndugu hapo ndio mwisho wako wa uelewa? si uwaulize hata wenzako. CMA kuna mashauri mengi tu yanaendelea baada ya maamuzi ya Rais (ku-exhaust internal/local remedies). Ulizia CMA usiendelee kujiaibisha na kuiaibisha TUME na maamuzi yenu mabovu.Hii case unayoirejea ina uhusiano gani na TUME?? Nikusahihishe kidogo mi sio mtendaji wa Tuame nlishahama kitambo
nimekuambia ukitoka TUME unaenda kwa Rais ukishindwa huko unaenda MAHAKAMA KUU.
Naadhani umenielewa
Sijakuzuia kwenda CMA naona akili zako fupi sanaNdugu hapo ndio mwisho wako wa uelewa? si uwaulize hata wenzako. CMA kuna mashauri mengi tu yanaendelea baada ya maamuzi ya Rais (ku-exhaust internal/local remedies). Ulizia CMA usiendelee kujiaibisha na kuiaibisha TUME na maamuzi yenu mabovu.
Kwa hiyo niache kulialia muendelee tu kuamua ovyoovyo mashauri ya watumishi kwa kurukia hitimisho kama ulivyosema badala ya kupitia vizuri vielelezo? Kwanza umesema umehama TUME sasa unaisemea kama nani? Na inawezekama umehamishwa kwa utendaji mbovu huohuo unaolalamikiwa na watumishi.We lialia ila mimi nimekupa utaratibu, kama Tume ikiumbuka sio swala lako, we subiri maamuzi ya shauri lako usonge mbele
Kwa hiyo niache kulialia muendelee tu kuamua ovyoovyo mashauri ya watumishi kwa kurukia hitimisho kama ulivyosema badala ya kupitia vizuri vielelezo? Kwanza umesema umehama TUME sasa unaisemea kama nani? Na inawezekama umehamishwa kwa utendaji mbovu huohuo unaolalamikiwa na watumishi.
Mwajiri akuoneeKwa hiyo niache kulialia muendelee tu kuamua ovyoovyo mashauri ya watumishi kwa kurukia hitimisho kama ulivyosema badala ya kupitia vizuri vielelezo? Kwanza umesema umehama TUME sasa unaisemea kama nani? Na inawezekama umehamishwa kwa utendaji mbovu huohuo unaolalamikiwa na watumishi.
Naona huo uelewa wako mdogo ndio umefanya ukahamishwa TUME. CMA mashauri yanaendelea na wanasema wanahaki nayo tofauti na unavyobwabwaja humu. Acha kupotosha watu kwa vitu usivyovijua na pia sio msemaji wa TUME au CMA.Sijakuzuia kwenda CMA naona akili zako fupi sana
Nenda huko CMA kama ni mtumishi wa Umma watakuelewesha, naona unakichwa kigumu sana bila shaka ndio maana ukafukuzwa.
Si uende huko CMA? Mnona unalalamika hapaNaona huo uelewa wako mdogo ndio umefanya ukahamishwa TUME. CMA mashauri yanaendelea na wanasema wanahaki nayo tofauti na unavyobwabwaja humu. Acha kupotosha watu kwa vitu usivyovijua na pia sio msemaji wa TUME au CMA.