Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Asante Bw Biashara kwa kile kitabu kinachofundisha sabuni za mche bila ile caustic soda chemical hatari kwa afya zetu
 
Mkuu, elewa maudhui, kuwa nyeupe ni kung'aa kwa rangi uliyo ichagua, umechagua rangi nyekundu halafu inamadoa meusi au meupe, hiyo sio yeupe(safi) kwani nani hajui zipo sabuni za rangi nyingi? nyeupe, njano,kijani, nk. elewa kinacho maanishwa.
mkuu tafadhari ni dm please
 
***
mafata Lita 1 yanatoa sabuni ya ukubwa gani?
 

mkuu nmefatilia sn somo lako tangia juu uko naomba mwongozo jinsi yakusafisha mafuta yamawese
 
ilo somo lako la sabuni ya kipande pamoja na formula yake je kunautafaut gn ktk utengenezaj wa sabun ya magan? naomba mwongozo wk ktk ili mkuu
 

mkuu formula yk inasema mafuta lita1 + caustic soda grm135 + maji mls 350 + sodium soligate prm100. mkuu hii ndo formula yako.

sasa swali langu icho kipimo cha maji mbn kikubwa sn tofaut na izo grm za caustic na iyo sodium siligate afu tena na ayo mafuta mbn madogo sn maana ayawian kbs izo grm za caustic wala wala ayo maji maana ktk maelezo yk uko juu ulisema mafuta na caustic ndo yanatengeneza sabuni maji ni kiunganish2 ila hapo kwny iyo formula naona maji yamekua mengi kuliko ayo mafuta.

ebu nipi mwongozo mkuu ktk ili
 
nakama iyo formula iko sawa bc naomba unipe mwongozo ktk gharama zamadawa km ilivo hapo kwny formula na uniambie ktk izo gharama unatoa miche mingap yasabun? km ilivo kwny sabun

naomba mwongozo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…