Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

iv ktk mafuta lita20 zinaingia grm ngp za caustic soda na sodium siligate kiasi gn? pamoja na maji lita ngp?

Naomba mwongozo mkuu
 
Nina ndoto kama hii miaka namiaka kuna siku nitaibuka pale cdo kujifunza zaidi.
Ivi mmashine wana uza shilingi ngapi.
 
niPm ukihitaji sabuni ya maji bei nafuu sabuni nzuriiii
 
Hizo material kama caustic soda vinapatikana wapi mkuu?
 
Napenda sana utengenezaji wa sabuni tatizo sabuni za kujitengenezea ukiweka juani inayeyuka pia zinakwisha haraka yaani ni laini sana je hizo unazofundisha zikoje? Ni sabuni bora
 
Ninapenda bidhaa ya sabuni kwa kuwa ni muhim kwa matumizi ya kila siku kwa mtu yeyote tatizo ni ubora wa sabuni ,ndiyo maana wengi tunajifunza mwisho wa siku hamna kitu hesabu ya faida inakataa
 
Njoo nkufundishe
Miss Salt heshima yako.
Ningependa sana kujifunza kutengeneza dawa za choo (disinfectants ) sabuni ya maji kama termol kwa ajili ya usafi wa nyumba na nguo na dawa ya kusafisha tiles na sink.

Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…