Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji lt ngapi iSABUNI YA UNGA
MALIGHAFI
i.sodash kg 3
ii.sodium metasaket kg 1
iii.CPP kg 1
iv.salphonik asid lita 1
V.optical brighter gm 50
vi.nausa gm 50
vii.stivson vijiko viwili vya chakula
viii.pafyum kijiko kimoja au viwili vya chai
IX.besen la plastic
JINSI YA KUTENGENEZA
1.andaa malighafi zote na vipimo vilivyotajwa hapo juu namba moja hadi nane
2.andaa beseni lako la plastic
3.andaa mwiko
4.anza kuchanganya kwa kuweka kimoja baada ya kingine na kuchanganya vizuri
5.changanya kwa kutumia mwiko wa kujengea
6.changanya kwa dakika tano hadi ishirini mpaka ichanganyike vizuri
7.baada ya kuchanganya anika katika kivuli
8.baada ya kukauka pima na anza kuuza.
Kama hujaelewa waweza kunipigia simu kwa maelezo zaidi kwa simu namba 0743550599 na kwa wale wanaohitaji vitabu vya masomo hayo vipo na vinapatikana kwa njia ya hardcopy na soft copy
Pamoja na vitabu vya ufugaji wa kuku wa kienyeji
We sabuni hutumii, sabuni ni matumizi ya kila siku ya binadamu.Soko la sabuni likoje? Nahitaji kujua soko
Hayo mahitaji yana cost sh ngapi? Na unatoa kilo ngapi yasabuni?
SABUNI YA UNGA
MALIGHAFI
i.sodash kg 3
ii.sodium metasaket kg 1
iii.CPP kg 1
iv.salphonik asid lita 1
V.optical brighter gm 50
vi.nausa gm 50
vii.stivson vijiko viwili vya chakula
viii.pafyum kijiko kimoja au viwili vya chai
IX.besen la plastic
JINSI YA KUTENGENEZA
1.andaa malighafi zote na vipimo vilivyotajwa hapo juu namba moja hadi nane
2.andaa beseni lako la plastic
3.andaa mwiko
4.anza kuchanganya kwa kuweka kimoja baada ya kingine na kuchanganya vizuri
5.changanya kwa kutumia mwiko wa kujengea
6.changanya kwa dakika tano hadi ishirini mpaka ichanganyike vizuri
7.baada ya kuchanganya anika katika kivuli
8.baada ya kukauka pima na anza kuuza.
Kama hujaelewa waweza kunipigia simu kwa maelezo zaidi kwa simu namba 0743550599 na kwa wale wanaohitaji vitabu vya masomo hayo vipo na vinapatikana kwa njia ya hardcopy na soft copy
Pamoja na vitabu vya ufugaji wa kuku wa kienyeji
Kujib hili swal n ngumu, hebu akikujib uniiteHayo mahitaji yana cost sh ngapi? Na unatoa kilo ngapi ya sabuni?
Njoo DM npige kazi unilipeSabuni ya vipande pia? Unaweza? Je kama MTU anataka uje umtengenezee kwake ajifunze akulipe inakuwaje
Hapana mkuu nawaachia wengineSabuni ya maji hutaki?
Sina mtu wa Mbeya mkuuKule kyela mbeya niliona wanatengeneza sabuni za mawese, asee wako vizuri jaribu kuwaulizia watu wa huko wakupe maarifa
Mods washafanya yaotanzania ya viwanda
naomba msaada wa kutengeneza vitu vifuatavyo
sabuni ya kipande
toothpick
nataka nianze kutengeneza tena nitapiga copy ya jamaa kama mchina.
nipo tayari kulipia
watu wa ajabu sana ndo maana hatuendelei. mimi nimesema kabisa sabuni ya kipande wao wananileta sabuni ya maji.sio fairMods washafanya yao
Watakuwa wana akili kama za roboti.watu wa ajabu sana ndo maana hatuendelei. mimi nimesema kabisa sabuni ya kipande wao wananileta sabuni ya maji.sio fair