Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

Sabuni ya vipande pia? Unaweza? Je kama MTU anataka uje umtengenezee kwake ajifunze akulipe inakuwaje
 
Inategemeana na maeneo uliko ya vipande ndo rahisi kuliko hio ila yenyewe kemikali yake kidogo inahitaji umakini sana coz yaweza kukuletea madhara.
 
SABUNI YA UNGA
MALIGHAFI

i.sodash kg 3
ii.sodium metasaket kg 1
iii.CPP kg 1
iv.salphonik asid lita 1
V.optical brighter gm 50
vi.nausa gm 50
vii.stivson vijiko viwili vya chakula
viii.pafyum kijiko kimoja au viwili vya chai
IX.besen la plastic

JINSI YA KUTENGENEZA

1.andaa malighafi zote na vipimo vilivyotajwa hapo juu namba moja hadi nane
2.andaa beseni lako la plastic
3.andaa mwiko
4.anza kuchanganya kwa kuweka kimoja baada ya kingine na kuchanganya vizuri
5.changanya kwa kutumia mwiko wa kujengea
6.changanya kwa dakika tano hadi ishirini mpaka ichanganyike vizuri
7.baada ya kuchanganya anika katika kivuli
8.baada ya kukauka pima na anza kuuza.

Kama hujaelewa waweza kunipigia simu kwa maelezo zaidi kwa simu namba 0743550599 na kwa wale wanaohitaji vitabu vya masomo hayo vipo na vinapatikana kwa njia ya hardcopy na soft copy
Pamoja na vitabu vya ufugaji wa kuku wa kienyeji
Maji lt ngapi i
 
Hayo mahitaji yana cost sh ngapi? Na unatoa kilo ngapi yasabuni?
 
Tanzania ya viwanda

Naomba msaada wa kutengeneza vitu vifuatavyo:

Sabuni ya kipande
Toothpick

Nataka nianze kutengeneza tena nitapiga copy ya jamaa kama Mchina.

Nipo tayari kulipia
 
Kule kyela mbeya niliona wanatengeneza sabuni za mawese, asee wako vizuri jaribu kuwaulizia watu wa huko wakupe maarifa
 
Sasa Moderator umehamisha post yangu wakati unaona hivi ni viwanda viwili tofauti .sitaki sabuni ya maji mimi.please rudisha uzi wangu nitakosa msaada
 
Back
Top Bottom