Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

Sikubaliani nawe kwenye NAFASI KUTANGAZWA. Hakuna kitu fisadi anakipenda kama kutangaza nafasi, na wahusika wagombee au waombe. Kwa sababu Fisadi silaha yake kubwa ni pesa, na wanazo. Kwa hiyo mfumo huo wanauwezo mkubwa wa kupenyeza watu wao na wakawahudumia wao sio wananchi. Kwani hao mawaziri si walichaguliwa na wananchi, huku nafasi za majimbo yakitangazwa. Wakapita kwa kutumia pesa.

China ilitupilia mbali huo mfumo, kwa sababu ukiwa na masikini wengi kama nchi zetu ni balaa tupu. Urusi alicheleweshwa na hayo, sasa wanarudi kule kule.

Leo tunajua bei za ubunge na nafasi nyingine tofauti zinazotangazwa na wenye nia wakaomba.

Narudia msemo wa Nyerere "Watanzania wana majibu RAHISI kwa maswali MAGUMA sana."
 
kutumbuliwa kwa maharagwe kumefurahisha wengi sana.
 
CEO wa mashirika kuna shida gani wakiomba wakafanyiwa public interview?
 
Siamini
Ila Muda utaongea ngoja tuone
 
Shida ni hivi: Hizo Public interview si public kama unavyofikiri. Wanaoendesha interview wamelipwa ili wachague mtu wanaompenda wao a.k.a Fisadi. Utakuwa umeokoa nini? Ni kama uchaguzi mkuu vile!
No kwenye kujieleza watu wataona live kama wakenya wanavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…