Yule na yule waziri wa vitoweo ni masinchi hatari, yule wa vitowewo alipokuwa naibu,alimsagia kunguni waziri hadi waziri akaondolewa, yeye akapandishwa cheo.Hili nakuunga mkono. Yule jamaa anadumu Kwa umbea.
Nani kafariki hapo mjiniIJP Yupo Busy Kaenda Mara kuhudhuria Msiba wa Tajiri kijana wa Mwanza.
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.

Una hoja, usikilizweRaisi hapa kama tatizo ni zile pics za hasira sio vizuri kutenguwa watendaji wazuri kwasababu za kisiasa. Wizara ya maji ni ngumu sana ukipata watendaji wazuri wakali warekebisheni sio kutenguwa halafu mnaleta wezi
Huyu kaliwa fasta ila kule juu kitenguzi kizitoRais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
Mwaka huu hauishi mkuu, atapewa kazi nyingine.Mwakani atateuliwa mkuu wa mkoa
Huyo dada Kemikimba hata kama ni wa home BK ni mjinga sana! Hastahili kuwa kiongozi kabisa.Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
Hapa ndio nimeelewa
Moderator tunaomba hizi video ziwe pinned kule juu ili wasomaji waone huyu KM alikuwa ni mtu wa aina gani.
Ni kweli kabsa, ukiona mwl wa serikali kafukuzwa kazi jua kuwa akili ya huyo mtu sio sawa.Duuu. Ikifikia mpaka sa100 anakutengua basi wewe utakuwa lofa kweli. Sa100 Hana muda mtu piga Dili zako tu na ule kwa urefu wa kamba yako
AiseeInapendeza piga kazi Mama
AiseeYule na yule waziri wa vitoweo ni masinchi hatari, yule wa vitowewo alipokuwa naibu,alimsagia kunguni waziri hadi waziri akaondolewa, yeye akapandishwa cheo.
Ni utamaduni waoYule na yule waziri wa vitoweo ni masinchi hatari, yule wa vitowewo alipokuwa naibu,alimsagia kunguni waziri hadi waziri akaondolewa, yeye akapandishwa cheo.
Alionesha udhaifu wa kiuongozi jukwaani. Waziri ikabidi amuombe radhi yeye badala ya kumuombea radhi.kafanyaje binti jamani , mrembo. Wa dini yngu tena imekuwaje. Nshomile kutoka wapi? Katoro?
Nimeiona clip lkn maneno hayasikiki vema.Alionesha udhaifu wa kiuongozi jukwaani. Waziri ikabidi amuombe radhi yeye badala ya kumuombea radhi.
Wakati anahutubia aliletewa kimemo na mtu mmoja pale jukwaani. Akakereheka akafedheheka akakitupa kile kimemo na kuzira kuendelea na hotuba akisema wasimletee utani utani. Inaonekana kimemo kimetoka kwa Waziri labda
Nadhani kushindwa kwake kujidhibiti ama kudhibiti hasira kumepelekea rais kuondoa imani kwake