Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.

Raisi hapa kama tatizo ni zile pics za hasira sio vizuri kutenguwa watendaji wazuri kwasababu za kisiasa. Wizara ya maji ni ngumu sana ukipata watendaji wazuri wakali warekebisheni sio kutenguwa halafu mnaleta wezi
 
Una hoja, usikilizwe
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.

Huyu kaliwa fasta ila kule juu kitenguzi kizito
 
Nimeona kwenye Clip huyo mama akiwa kwenye podium akaletewa kikaratasi chenye ujumbe akakisoma na kukikunja na kukitupa hali iliyoashiria kama ameona ni UPUUZI. sijui kama ndio sababu au kuna jambo lingine
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.

Huyo dada Kemikimba hata kama ni wa home BK ni mjinga sana! Hastahili kuwa kiongozi kabisa.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Injinia Nadhifa Said Kemikimba.

Sasa usiombe uwe na Jina linalochefua halafu na Mteuwaji nae awe amdkasirishwa na Utendaji wako mbovu. Utajuta....!!

Asanteni Wazazi wa GENTAMYCINE mlionipa hili Jina langu la NIDA, RITA na UHAMIAJI Tanzania la Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura.

Rais yoyote yule akiona tu Jina la Kisungura Kwanza anafurahi, hawezi Kukutumbua kwakuwa anajua ukiwa Kisungura inamaanisha Wewe ni Mjanja ( Smart ) na Mwerevu ( Intelligent ) tofauti na Majina mengine ya Maliwato Maliwato tu.
 
Duuu. Ikifikia mpaka sa100 anakutengua basi wewe utakuwa lofa kweli. Sa100 Hana muda mtu piga Dili zako tu na ule kwa urefu wa kamba yako
Ni kweli kabsa, ukiona mwl wa serikali kafukuzwa kazi jua kuwa akili ya huyo mtu sio sawa.
 
kafanyaje binti jamani , mrembo. Wa dini yngu tena imekuwaje. Nshomile kutoka wapi? Katoro?
Alionesha udhaifu wa kiuongozi jukwaani. Waziri ikabidi amuombe radhi yeye badala ya kumuombea radhi.

Wakati anahutubia aliletewa kimemo na mtu mmoja pale jukwaani. Akakereheka akafedheheka akakitupa kile kimemo na kuzira kuendelea na hotuba akisema wasimletee utani utani. Inaonekana kimemo kimetoka kwa Waziri labda

Nadhani kushindwa kwake kujidhibiti ama kudhibiti hasira kumepelekea rais kuondoa imani kwake
 
Nimeiona clip lkn maneno hayasikiki vema.
 
Back
Top Bottom