Adrian Stepp
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,591
Reuben Mfune anakesi Ruangwa alipokua DED anadaiwa kupiga 200 Mil. Kinyume na utaratibu, hao wengine pia wana vimeo TAKUKURULeteni Chap Kilichofanya Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan
Rais Wa JMT Kuwafuta Kazi Hao Viongozi Idadi Kubwa Namna Hiyo
Acheni chuki za kidini.Nafasi zao zitashikwa na wafuatao
Bwana Idd Mrisho
bwana Juma Khamis
bi husna Rajabu
Na bi Shamsa nasoro
Jamani, nabashiri tuu
Unabashiri wakati ndio umechomoa faili la ikulu ukasambaza tayari washajulikana wataowekwa kwenye nafasi hizo,Nafasi zao zitashikwa na wafuatao
Bwana Idd Mrisho
bwana Juma Khamis
bi husna Rajabu
Na bi Shamsa nasoro
Haa Walikuwa Wanaonja Chap Cash Kama Karanga Ilaa PCCB Itauwa Watu Jamani Yaani Imechota Viongozi Tele Na Kuwapiga MwelekaReuben Mfune anakesi Ruangwa alipokua DED anadaiwa kupiga 200 Mil. Kinyume na utaratibu, hao wengine pia wana vimeo TAKUKURU
Acheni chuki za kidini.Tunaweka dini yetu. Hao wote ni makafir.
Likely maana hawakauki hukoReuben Mfune anakesi Ruangwa alipokua DED anadaiwa kupiga 200 Mil. Kinyume na utaratibu, hao wengine pia wana vimeo TAKUKURU
Mbona wote wageni
Umaskini huo. Ungekuwa na pesa usingewaza hivyo. Tafuta pesa kijanaDah kuna jina nalisubiri kila siku mwaka wa saba huu bila bila
Mwageni jinamizi limemwandama muda sasa, kutoka Iramba hadi Ushetu
Angetengua kwanza mamlaka za uteuzi zinazoteua watu kwa ukada na sio weredi. Awateue Wapemba kama kawaida
Haya hua ni mawazo ya mtu masikini na aliyekata tamaa ya maisha.Tunaweka dini yetu. Hao wote ni makafir.
Hakuna DED anashindwa kununua V8 akitaka. Huo umaskini wako unaokuambia wakitoka hapo hawana kitu basi unajiongopeaLeo Viongozi Wengi Usingizi Hawaupati Kiwewe Kuona V8 Series Ya 300 Unaiacha
Wewe ni mpumbavu! Hakuna hata mmoja anayepewa madaraka kwenda kuwatumikia wanadini wenzake badala ya WatanzaniaAcheni chuki za kidini.
Sijakuelewa ww m*vi... unamjibu nani?Wewe ni mpumbavu! Hakuna hata mmoja anayepewa madaraka kwenda kuwatumikia wanadini wenzake badala ya Watanzania
Dini dini hizi' ziishie kwenye milango ya kuabudia tuu' mitaani wote ni Watanzania" dini zinachelewesha saana na zina magomvi kibao na sio za kubembeleza hizi! Mtu akileta fyoko akihusisha dini, tafahari afyekwe haraka sana! Dini ni kama mafuta ya petrol!