Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Akifanya Operesheni huenda uvimbe ukarudi tena ila nikimpa dawa zangu uvimbe hautarudi tena atatumia dawa zangu kwa muda wa siku 21 na atapona kabisa na kusahau kama anao uvimbe kwenye mfuko wake wa kizazi.
Dhaaa hizo ni habari njema,nashukuru sn mkubwa.
 
Hata Muheza ipo na it works,basicaly hata haya mambo ya uzazi kwa kina mama na kina baba
 
jaribu kuingia kwenye youtube.kuna watu wengi wametibiwa bila kufanyia operation.andika natural fibroid treatment.fanya hivyo kwani operation ya fibroid ni pesa nyingi.try hivyo kabla ya kwenda mbele kwanza.
 
Samahan dkt..naomba kukuuliza ...hv endometrial thickened inasababishwa nna nn na mini tba yake?

Ukiwa na polycystic ovary unaweza kushika mimba? Na dawa yake nini??
 
Nimeshatumia tiba nyingi sana za kutangaza tangaza hizi, hamna kitu.

Sasa nimemwachia Mungu.

Mradi natumia folic acid kila siku sipungungukiwi damu and life goes on
 
Daktari mzizimkavu na wengine wenye kuelewa jambo hili naomba kueleweshwa hili,mwanamke mwenye fibroids size 3.8cm, anaweza kupata v, bleeding wakati sio tarehe zake?? amepata v bleeding siku ya 14 kidogo then akakaa siku mbili akaona tena ni kidogo kidogo na imeendelea kwa siku mbili, je hili ni tatizo la faibroids au ni tataizo gani?
 

dada vp ulifanikiwa kupata dawa ya fibroids make nina tatizo km lako tumeane taarifa jamani
 
hello mimi ni Mwanamke mwenyewe umri wa miaka 26 nina tatizo hilo mdamrefu na sasa nna mtoto ingawa nilizaa kwa upasuaji sasa kwamaelezo yako naogopa inamaana siwezi kupata mtoto mwengine tena kwani imekaa kwenye njia ya kizaz na nikijamiiana na mmewangu huwa na kihisi anakigusa please naitaji ushauri nitumie kwa email mariamlawrence97@gmail.com
 
Mkuu mariam lawrence mimi ninayo dawa ya kukutibu maradhi ya Uterine Fibroids ukihitaji Dawa ninaweza kukupa dawa utatumia na kupona ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Naomba msaada kwa DR's wa JF,

Nilifanyiwa operation mwaka jana ya c.section wakatoa mtoto na fibroid makubwa manne. Nikakaa baada ya miezi saba nikapata mimba nyingine. Nimefanyiwa operation wiki iliyopita wakamtoa mtoto na fibroid kubwa sana, ila doctor anasema mengine kayaacha anasema si makubwa sana.

Msaada ninaohitaji: naweza kupata DAWA ama inawezekana yakatibiwa bila kupasuliwa? Maana naona huwa hayaishagi, ukikata yanarudi .
 
MYOMA or UTERINE FIBROIDS or LEIOMYOMA or UTERINE MYOMA... Huu ni uvimbe (benign tumour) inayotokea kwenye kuta laini za uterine.... Hii inaweza patikana about 25% of female of females of reproductive age.

Sababu inayofanya uterine fibroids ni kukuwa kupitiliza kwa misuli ambayo ipo kwenye uterine hii nikutokana na kwamba fibroids ni oestrogen dependent...sana sana huwapata wanawake ambao ni infertile becouse there is long standing unopposed oestrogen effects leading to over proliferation of the uterine smooth muscles.

Pia huweza sababishwa na obesity (unene ulio pitiliza), child bearing age>30. ..na family history/ genetic predisposition. Fibroids imegawanyika kwenye makundi 3. Submucousal, intramural na subserpsal.

Dalili za uvimbe wa kizazi ni constipation (kukosa choo, choo kuwa kigumu), feeling fullness in the lower abdomen( kujiskia kuwa na ujazo kwenye tumbo la kizazi kama mtu aliyeshiba), Anaemia( damu kuwa kidogo Hb).

Diagnosis za Myoma ni kupima Hb iwapo itakuwa ndogo below normal range <12g/dl na upt kusoma -ve hii inaweza ikawa njia kubwa ya kupima fibroids... Pia ultrasonography inatumika kuconfirm ugonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…