Mwaga vitu hapa viwasaidie na wengine,Pole sana mpendwa!nitafute kwa no 0759948934 kama hutojal.
Pole sana, Mungu atakuponya kupitia madakitari, uvimbe hautarudi tena
Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Sorry sifahamu exactly sehemu ya tiba nzuriAsante,inapatikana wapi hiyo tiba ya mitishanba au ni nitishamba gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nikimtibia huyu mgonjwa wa maradhi ya Uvimbe kwenye milango ya kizazi aka (Fibroids) nina uhakika maradhi yake atapona na hayata rudia tena maradhi yake.Ni uamuzi wake juu yangu kuniamini au kutoniamini.Sorry sifahamu exactly sehemu ya tiba nzuri
Mtafute MziziMkavu kwa msaada
Mkuu....kuna dada mmoja jilimnunulia dawa za mitishamba akatumia na kupona kabisa...alikuwa kisha hangaika sana mahospitali na kwa dr. Mwaka....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili linawezekana kwa asilimia kubwa sana.Niliwahi ambiwa yakwamba madonge masindano nanjia zote ambazo sio zakutumia kalenda kuzuia mimba zinapelekea haya matatizo nandio maana hata waathirika wake wengi nikina mama(wanawake)
kiufupi njia zauzazi wampango ambazo sio kalenda nihatari sana kwamama zetu nawanawake kwaujumla nahazifai
Ninakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa sana.Kesi kubwa yawezekana ikawa upande wa hizo sindano, vijiti au vidonge katika harakati zao kupanga uzazi
ndio hvyo MKUU nazinahamasishwa sana hizi njia kitaifa nakimataifa bila yakuangaliwa side effects zakeHili linawezekana kwa asilimia kubwa sana.
Niliwahi ambiwa yakwamba madonge masindano nanjia zote ambazo sio zakutumia kalenda kuzuia mimba zinapelekea haya matatizo nandio maana hata waathirika wake wengi nikina mama(wanawake)
kiufupi njia zauzazi wampango(zakisasa)ambazo sio kufuta kalenda(mpangilio wasiku kwawanawake) nihatari sana kwamama zetu nawanawake kwaujumla nahazifai
sana asee nakumbuka kuna nyakati nilikua tz nikaenda kwa project mikoa flan flan hali kule mbaya asee watoto wanahimizwa hayo madude mashuleni kabisa kuzuia upatikanaji mimba holelaWatoto wanameza P2 kama hawana akili nzuri... tabu ipo sana hapo siku za usoni.