π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
We jamaa bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbabe sanaKwani inashindikana? Nimetoa Maoni yangu hivyo yaheshimu tafadhali.
Cha mwisho kuna western agenda against the black women ,kwa sababu ndio wanabeba mimba wanazaa, so kuna agenda ya kama kuwakomoa ili wapunguze vizazi vya watu weusi ndio maana hizo untested and unregistered medicines zinakuja kwa wingi. Hawa watu hawana jema ,na hivi wanasema wanatuletea cheap medecines kulingana na uchumi wetu. Ndipo wanapoanzia kutuuwa kimya kimya. Kuna haja ya viongizi wa kiafrica kuwekeza kwenye swala la afya kwa ujumla kuliko kuwaachu hawa wenzetu wa magharibi. Wawekeze kwenye miundombinu ya afya kuanzia maabara na wataalam. Hatuwezi kuwa independent wakati kiuchumi na kiafya tunakua tegemezi. Nchi zilizotawaliwa na wafaransa wanategemea Institut Pasteur ya Ufaransa na matawi yake kuwanyia vipimo, na zilizotawaliwa na UK nao pia wanategemea UK based companies. Hawa watu wote wako ethically bound kulinda maslahi ya wakubwa zao na si host countries. Kuna mengi mazito nyuma ya pazia.We jamaa bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbabe sana
Kulingana na maoni ya wadau wengi, suluhisho hapo ni kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya hayo madawa ya uzazi wa mpango.Wakuu solution ni nini... Kuna watu wangu wa karibu 2 wanatatizo kama hilo
Bora na wewe umeliona hili.Kama hauna uelewa juu ya jambo flani,ni vizuri ukakaa kimya wanaojua wakajibu then ukapata elimu[emoji848]
AiseeKabisa, hayo madawa yamesababisha hata sehemu za uke kuachia sana na kuwa mabwawa tena ya baridi badala ya kubaki katika uzuri wake kiasili, ndiyomaana kuku wa kienyeji(Ke wasiotumia hizo dawa) ni watamu sanaa Chifu.
sana asee nakumbuka kuna nyakati nilikua tz nikaenda kwa project mikoa flan flan hali kule mbaya asee watoto wanahimizwa hayo madude mashuleni kabisa kuzuia upatikanaji mimba holela
Hali mbaya sana mbeleni
Hayo ni mawazo yako ya kifedhuli.Kitu pekee tu ninachokijua ni kwamba 99.999% ya Wanawake 'Warembo' na pia ni 'Maarufu' nchini ndiyo wanaongozwa Kuingiliwa Kinyumenyume.
Mimi so muimini kbs wa hizo castles...umenifurahisha sanaUsicheke Madame, hiyo inaitwa black and white..
macastle light yanawamaliza...muanze kunywa JD na JW πππ
99.999% ?!!
Bro, una uhakika vp !?
Kama hauna uelewa juu ya jambo flani,ni vizuri ukakaa kimya wanaojua wakajibu then ukapata elimu[emoji848]
Hayo ni mawazo yako ya kifedhuli.
Kuingiliwa kinyume kwa unao wafahamu wewe kuna uhusiano gani na uvimbe kwenye kizazi(fibroids).
Usitangulize hisia zako potofu katika mambo ya kidaktari.
DadekiWatoto wanameza P2 kama hawana akili nzuri... tabu ipo sana hapo siku za usoni.
Usipoteze mada na muda kwa mifano yako ya kihuni isiyo na tija.Mbona 'umepovuka' sana Mkuu? au 'Masela' walishawahi kupita nawe kwa huo Mfumo mzima wa Gari kupitia barabara ya Vumbi yenye Miba sana?