Uterine Fibroids (Myoma): Preventing, Shrinking and Avoiding Surgery

Jamani nyie waganga wa kienyeji mtatumaliza sasa! Kweli hayo matatizo yote uliyoyaorodhesha kuna mtu atakosa kweli? Mbona mnataka kufaidika kupitia mapungufu yetu?
myhem; Mkuu mimi si mganga; utakayoyakuta ni maelezo rahisi ni vipi unaweza kutumia chakula kama matunda, mboga nk kuondoa au kupunguza matatizo ya kiafya.

Kuhusu mafanikio katika maisha na utajiri maelezo yanafuata misingi ya ujumla ambayo kupitia hiyo wengi wamefanikiwa.

Mwishoni maelezo yote ni bure 100%. Its just for sharing.
 
Last edited by a moderator:
Ok, thanks mkuu..sounds helpful sio wale wengine utakuta...mvuto wa mpenzi,biashara,aliyepotea nk..pamoja

Mkuu Kiteitei; asante sana.

Mkuu mimi si mganga; utakayoyakuta ni maelezo rahisi ni vipi unaweza kutumia chakula kama matunda, mboga nk kuondoa au kupunguza matatizo ya kiafya.

Kuhusu mafanikio katika maisha na utajiri maelezo yanafuata misingi ya ujumla ambayo kupitia hiyo wengi wamefanikiwa.

Mwishoni maelezo yote ni bure 100%. Its just for sharing.
 
Last edited by a moderator:
Sasa lugha kwenye blog haieleweki weken tafsri ya kiswahili

Mkuu mbona lugha ni nyepesi sana. Kama kuna swala husika unapenda utafsiriwe, please niandikie. Muhimu ni kuwa kuna wadau katika nchi kama 15 wa EA ambao wanafuatilia hivyo inabidi kitumike Ki-Swanglish.
 
Mmmh hauwezi kuwa Daktari na Wealth Expert at the same time...
MadameX, the blog is not an expert blog, its just for information sharing. I just have researched some facts and have good information sources. Ninachoona kina umuhimu wa kushare na wadau, nafanya hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Kuna dawa ya kukuza maumbile ya nanii?
Yaani mwanaume unakua mwanaume kikweli kweli!!
 

Msimbe, wewe nawe ni tajiri? Nataka majibu kabla sifanya uamuzi wa kukutafuta ili nipate huo utajiri.
 
Msimbe, wewe nawe ni tajiri? Nataka majibu kabla sifanya uamuzi wa kukutafuta ili nipate huo utajiri.

Haaaa haaa nutajiri mkuu si lazima uwe wa mali, bali hata wa moyon au mawazo. Information nyingi ziko based kwenye scientific proven principles ambazo waliofanikiwa wamepitia mapito hayo hayo. So si tajiri, wala si mganga na wala sina mafanikio makubwa, lakini naamini sharing is caring.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…