Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,032
myhem; Mkuu mimi si mganga; utakayoyakuta ni maelezo rahisi ni vipi unaweza kutumia chakula kama matunda, mboga nk kuondoa au kupunguza matatizo ya kiafya.Jamani nyie waganga wa kienyeji mtatumaliza sasa! Kweli hayo matatizo yote uliyoyaorodhesha kuna mtu atakosa kweli? Mbona mnataka kufaidika kupitia mapungufu yetu?
Kuhusu mafanikio katika maisha na utajiri maelezo yanafuata misingi ya ujumla ambayo kupitia hiyo wengi wamefanikiwa.
Mwishoni maelezo yote ni bure 100%. Its just for sharing.
Last edited by a moderator: