Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
kwa haraka naweza sema ni tajiri!kama ameweza kuwa premium member tanzanite hapa JF ambayo fee yake ni 1million per year!basi si mlala hoi kama sie tunaoingia free hapa jfMsimbe, wewe nawe ni tajiri? Nataka majibu kabla sifanya uamuzi wa kukutafuta ili nipate huo utajiri.
Wewe umefanikiwa yote hayo?
Umetokea sumbawanga?
kwa haraka naweza sema ni tajiri!kama ameweza kuwa premium member tanzanite hapa JF ambayo fee yake ni 1million per year!basi si mlala hoi kama sie tunaoingia free hapa jf
Mwali; sina maradhi kwa sasa, lakini madhumuni ni kushare valuable information ya kile ninachofahamu au ninachoweza kukipata na mwingine akijue.Wewe umefanikiwa yote hayo?
Umetokea sumbawanga?
Mwenyewe hana hata senti eti anataka kukupa utajiri au mbinu za..............shtuka
sawa mkuu ntakuemail hamna tatizo
Inferiority complexity..kama analog in kwa kutumia account ya mtu mwingine je? inabidi ufikirie nje ya box mkuu....mambo ya digitali usipime..ni mtizamo tu no offense,,,..!!!kwa haraka naweza sema ni tajiri!kama ameweza kuwa premium member tanzanite hapa JF ambayo fee yake ni 1million per year!basi si mlala hoi kama sie tunaoingia free hapa jf
Inferiority complexity..kama analog in kwa kutumia account ya mtu mwingine je? inabidi ufikirie nje ya box mkuu....mambo ya digitali usipime..ni mtizamo tu no offense,,,..!!!
that was a hypothetical question mkuu..no need to go hard on it..like they say..possibility doesnt mean its a probability..over..hehehe etii? wabongo bana. Kwaio analog in kwa account ya mtu mwingine mwenye jina lake!?
Nani feki hapo sasa?
Frankly kuwa Tanzanite member is very commendable anastahili sana pongezi zake.
Mkuu, umetembelea blog? Pitia kwanza nini kilichomo. Its a matter of sharing. And sharing is caring.
Pata majibu na maelezo ya maswali yafuatayo kutoka blog ya Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri (www.mtsimbe.blogspot.com)
· Je Una Maumivi Ya Gouts (Viungo)?
· Je Una Maumivu Ya Uti Wa Mgongo?
· Je Una Tatizo la Kisukari?
· Je Una Upara?
· Je Ungependa Kuondoa Mabaka Mabaka Kwenye Ngozi?
· Je, Nywele Zako Zinanyonyoka?
· Je Una Fibroids Au Uvimbe Katika Kizazi?
· Je Una Matatizo Ya Kushika Mimba?
· Je Una Matatizo Na Siku Za Hedhi Au Maumivu?
· Jinsi Ya Kupunguza Unene
· Jinsi Ya Kuzuia Kumaliza Mapema
· Je Jogoo Wako Hapandi Mtungi?
· Je, Unapoteza Kumbukumbu?
· Je, Ungependa Kuondoa Michirizi Katika Ngozi?
· Jinsi Ya Kufanya Meno Yawe Meupe
· Jinsi Ya Kuondoa Makunyanzi Ya Ngozi
· Jinsi Ya Kufanya Matiti Yasimame (Yasilale)
· Jinsi Ya Kuondoa Nywele Usoni
· Je, Ungependa Kuwa Na Matiti Makubwa?
· Je Macho Yako Hayaoni Vizuri?
· Je, Una High Blood Pressure?
· Je Una Allergies Na Kitu Chochote?
· Jinsi Ya Kuondoa Vipele Vya Kunyoa Ndevu
· Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni
· Je Wewe Unakoroma Usiku Na Ungependa Uache?
Kwa maoni tuandikie: mtsimbe@gmail.com
Pata majibu na maelezo ya maswali yafuatayo kutoka blog ya Afya Njema; Mafanikio Na Utajiri (www.mtsimbe.blogspot.com)
· Je Una Maumivi Ya Gouts (Viungo)?
· Je Una Maumivu Ya Uti Wa Mgongo?
· Je Una Tatizo la Kisukari?
· Je Una Upara?
· Je Ungependa Kuondoa Mabaka Mabaka Kwenye Ngozi?
· Je, Nywele Zako Zinanyonyoka?
· Je Una Fibroids Au Uvimbe Katika Kizazi?
· Je Una Matatizo Ya Kushika Mimba?
· Je Una Matatizo Na Siku Za Hedhi Au Maumivu?
· Jinsi Ya Kupunguza Unene
· Jinsi Ya Kuzuia Kumaliza Mapema
· Je Jogoo Wako Hapandi Mtungi?
· Je, Unapoteza Kumbukumbu?
· Je, Ungependa Kuondoa Michirizi Katika Ngozi?
· Jinsi Ya Kufanya Meno Yawe Meupe
· Jinsi Ya Kuondoa Makunyanzi Ya Ngozi
· Jinsi Ya Kufanya Matiti Yasimame (Yasilale)
· Jinsi Ya Kuondoa Nywele Usoni
· Je, Ungependa Kuwa Na Matiti Makubwa?
· Je Macho Yako Hayaoni Vizuri?
· Je, Una High Blood Pressure?
· Je Una Allergies Na Kitu Chochote?
· Jinsi Ya Kuondoa Vipele Vya Kunyoa Ndevu
· Jinsi Ya Kuondoa Chunusi Usoni
· Je Wewe Unakoroma Usiku Na Ungependa Uache?
Kwa maoni tuandikie: mtsimbe@gmail.com
Kuwahi kumaliza! Kwani kuna mda ambao muhafaka wa kumaliza? Je ni mda gani?
Mkuu vipi kuhusu pumu na alergy kwa pamoja?