Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
kwa haraka naweza sema ni tajiri!kama ameweza kuwa premium member tanzanite hapa JF ambayo fee yake ni 1million per year!basi si mlala hoi kama sie tunaoingia free hapa jfMsimbe, wewe nawe ni tajiri? Nataka majibu kabla sifanya uamuzi wa kukutafuta ili nipate huo utajiri.