King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Premature Ejaculation ni kumaliza katika muda mfupi kabla mwenzi wako hajatosheka au kumaliza. Wasiliana na mwenzi wako unaweza kupata jibu zuri.
Kufika kileleni kwa wanawake nao wanatofautiana kiongozi
Whitch doctors hadi JF?da kweli nyie noumah mnaenda na sayans+technology
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
pole kwa mapungufu!!Jamani nyie waganga wa kienyeji mtatumaliza sasa! Kweli hayo matatizo yote uliyoyaorodhesha kuna mtu atakosa kweli? Mbona mnataka kufaidika kupitia mapungufu yetu?
Hauna dawa ya kuongeza akili?
Jibu kwanza unawatoto wangapi? nikupe vivid exampleumeshazaa au bado? una watoto wangapi?
. Hapana bado sina mtoto,nilishika ujauzito ukatoka na ni mwaka sasa tangu uharibike..umeshazaa au bado? una watoto wangapi?
Duh!Pole sana,najua unapitia kipindi kigumu sana katika maisha,vipi ushafanyiwa operation mara ngapi kutokana na hilo?Hapana sijapata mtoto bado,zaidi ujauzito uliharibika
fibroids nihatari sana kwa mtu ambaye bado hujapata mtoto kwasababu inapunguza sana uwezekano wa kupata mimba, ninarafiki yangu alikuwa nazo baada ya kufanyiwa operation ikawa ndio hata hiyo mimba yakushika nakuharibika hakuna tena namwingine alipogundulika anazo ikabidi kwenye ile stage ya kwanza alishauriwa na daktari abebe mimba fasta kabla hajafanyiwa operation ilipofika wakati wakujifungua akafanyiwa operation ya mtoto na ya fibroids at the same time.Hapana sijapata mtoto bado,zaidi ujauzito uliharibika
unamanisha nini?Asante nashukuru sana..sasa tatizo hata hospital kunifanyia operation wana sema niko kwenye risk since nimekua na makovu....:help::help: