Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Regency...Habari zenu wadau, naomba mnielekeze hospital nzuri ya magonjwa ya wanawake ili niweze kumpeleka mgonjwa akapatiwe huduma. Niko mkoa wa pwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Regency...Habari zenu wadau, naomba mnielekeze hospital nzuri ya magonjwa ya wanawake ili niweze kumpeleka mgonjwa akapatiwe huduma. Niko mkoa wa pwani
Ukimpeleka Mgonjwa wako Hospitali kwa ajili ya Tiba ya Fibroid atafanyiw aoperesheni lakini baada ya miak 2 itarudi tena hiyo Fibroid ukitaka dawa ya kumaliz akabisa hiyo fibrois pasipo na kufanya operesheni mimi ninayo nitafute kwa wakati wako nikupatie dawa ya kutumia pasipo na kufanya operesheni. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Habari zenu wadau, naomba mnielekeze hospital nzuri ya magonjwa ya wanawake ili niweze kumpeleka mgonjwa akapatiwe huduma. Niko mkoa wa pwani
ThanksMwambie mwenzio usimfiche
Huwenda mama mkwe wako mtafajiwa anajuwa mti shamba[emoji849] wa kukutibu.
Btw Pole sana
NotedWatu wa miti shamba kweli kwa hili msaada wenu ni wamuhimu.
But ushauri wangu, tafuta mtoto mapema.
Ok, I'll do the needful. Thanks.Dada dawa ni operation, usijidanganye na miti shamba
Namshauri azingatie mstari wa mwishoWatu wa miti shamba kweli kwa hili msaada wenu ni wamuhimu.
But ushauri wangu, tafuta mtoto mapema.
Ntauzingatia huo ushauriNamshauri azingatie mstari wa mwisho
Majuto ni mjukuu
Asipitie maumivu nayopitia sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana nashukuru Sana.Hebu wasiliana na huyu doctor 0686527039 alimsaidia sana mke wangu kwa shida kama hiyo, anaweza kukusaidia
Asante mkuuPole sana mkuu..wife anacase kama yako...tumeangaika na dawa ya mitishamba mwaka na nusu sasa bila mafanikio...tumeamua kurudi kwa specialist sasa...appointment ni kesho kuanza process za operation....ushauri wangu kwako bora ufate ushauri wa dactari wako tu..huku kwingine ni mateso na kupoteza mda na pesa.