Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Kwani sio wewe uliyeandika haya,Hivi unakijua kweli ulicho kiandka mkuu,embu tulia afu rudia kusoma nilichokiandika then angalia na ulichokiandka...
Ninawasiwasi na wewe either akili yako au elimu yako....
King Sae said:
...Ila tusisahau bandugu hao wanao tumia madawa ndo wale baadhi tunao wala tunda kimasihara wakijaga kwnye magheto yetu au wale tunaowabembeleza adi mtoto wa watu huruma inamuingia anakupa tunda afu akitoka apo anaenda kubugia hayo madawa..." Ni ya mtu mzima kweli haya,acha hizo wewe.