Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi.
Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi.
Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala.
Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi:
Your browser is not able to display this video.
Kama alikuwamo madarakani atwambie alifanya nini kuondoa kadhia kama hizo.
Kutesa watu, kuteka watu, kuuwa watu au kuwashikilia watu bila kujulikana walipo kinyume cha utashi wao ni kinyume cha sheria na kinyume cha haki za binadamu.
Tutahitaji kujua wako wapi wote waliopotezwa na dola.
Tutahitaji kujua yuko wapi Moses Lijenje. Tutahitaji kujua alipo Luteni Dennis Urio na kwa nini kama yupo anashikiliwa na kuteswa huko aliko.
Aghalabu hao ni kwa kuanzia kwani orodha yote ya waliotoweka itakuwapo.
Uongozi siyo udhwalimu.
Tunayo haki ya kuishi nchini mwetu kwa furaha itokanavyo na uwepo wa uhuru, haki, usawa na demokrasia.
Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi.
Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi.
Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala.
Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi:
Kama alikuwamo madarakani atwambie alifanya nini kuondoa kadhia kama hizo.
Kutesa watu, kuteka watu, kuuwa watu au kuwashikilia watu bila kujulikana walipo kinyume cha utashi wao ni kinyume cha sheria na kinyume cha haki za binadamu.
Tutahitaji kujua wako wapi wote waliopotezwa na dola.
Tutahitaji kujua yuko wapi Moses Lijenje. Tutahitaji kujua alipo Luteni Dennis Urio na kwa nini kama yupo anashikiliwa na kuteswa huko aliko.
Aghalabu hao ni kwa kuanzia kwani orodha yote ya waliotoweka itakuwapo.
Uongozi siyo udhwalimu. Tunayo haki ya kuishi nchini mwetu kwa furaha itokanavyo na uwepo wa uhuru, haki, usawa na demokrasia.
Hivi kuna maana gani kumfanyia mwanaume mwenzio kitendo cha hovyo kama hicho? hawaoni kuwafanyia hivyo wenzao ni sawa na kujidhalilisha wao wenyewe?
Hata kama Katiba Mpya itachelewa upatikanaji wake, upuuzi wa aina hii haupaswi kuisubiri mpaka ipatikane, hao wahuni wanaotesa watu, kuwaibia mali zao ( pesa), na kuwapoteza wakiwa chini ya usimamizi wao, wanatakiwa kuchukuliwa hatua kali za kisheria.
Uchunguzi ufanywe na taasisi huru ku expose madhila yote polisi wa nchi hii wanayowafanyia raia wakiwa vituoni, itakapothibitika ushiriki wa polisi, wachukuliwe hatua kali za kisheria ili iwe fundisho kwa wote wenye tabia za hovyo kama hizi.
Mwisho CCM na serikali ndio wachochezi wa hizi tabia ovu, ushirikiano wao na polisi kwenye mambo ya kisiasa kwa manufaa yao ndiko kunasababisha polisi wajisahau na kujiona wana haki ya kuwakandamiza wengine, kwasababu wana "urafiki" na serikali iliyopo madarakani.

Shame on this country ndiomaana wakati mwingine hata mvua hazinyeshi, yote haya ni uroho na uchoyo wa madaraka , Jiwe alikua mbwa sana hivi mtu kama hakukubali ni lazima umtese? kwani haya mavyeo situnayaacha hapa hapa duniani? hii nchi ni ngumu sana

Kumekuwa na tabia mbaya kabisa ya ukatili wa baadhi ya watu katika kutafuta au kushikilia uongozi/madaraka katika Tanzania.
Kwa bahati mbaya sana, wananchi masikini wa mali na fikra wameingia kwenye mtego wa kushabikia unyama huu.
Hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo.
Kwa mustakabali mwema wa taifa, watu makatili dhidi ya wenzao wapingwe kwa njia zote.
Kumekuwa na tabia mbaya kabisa ya ukatili wa baadhi ya watu katika kutafuta au kushikilia uongozi/madaraka katika Tanzania.
Kwa bahati mbaya sana, wananchi masikini wa mali na fikra wameingia kwenye mtego wa kushabikia unyama huu.
Hii siyo sawa na haikubali hata kidogo.
Kwa mustakabali mwema wa taifa, watu makatili dhidi ya wenzao wapingwe kwa njia zote.
Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi.
Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi.
Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala.
Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi:
Kama alikuwamo madarakani atwambie alifanya nini kuondoa kadhia kama hizo.
Kutesa watu, kuteka watu, kuuwa watu au kuwashikilia watu bila kujulikana walipo kinyume cha utashi wao ni kinyume cha sheria na kinyume cha haki za binadamu.
Tutahitaji kujua wako wapi wote waliopotezwa na dola.
Tutahitaji kujua yuko wapi Moses Lijenje. Tutahitaji kujua alipo Luteni Dennis Urio na kwa nini kama yupo anashikiliwa na kuteswa huko aliko.
Aghalabu hao ni kwa kuanzia kwani orodha yote ya waliotoweka itakuwapo.
Uongozi siyo udhwalimu. Tunayo haki ya kuishi nchini mwetu kwa furaha itokanavyo na uwepo wa uhuru, haki, usawa na demokrasia.
Kiapo cha Kiongozi wa nchi..ni kulinda raia wa Jamhuri..hli ndilo jukuu kubwa no moja. Je Kiongozi mkuu akibarik Unyama huu dhidi ya raia Je hajasalit kiaopo chake?