Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdude Chadema ni zaidi ya mtu!!! Mungu amlinde
Amina 🙏Eee mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tunakuomba utuokoe na haya mateso ndani ya taifa letu - wewe ni mwenye nguvu, hakuna linaloshindikana kwako, watu wako wasio na hatia wanateswa na kuumizwa vibaya saana.
Mdude Chadema ni zaidi ya mtu!!! Mungu amlinde
Sio polisi, sio serikali bali ni kile chama kinachomiliki kila kitu ndio kilipora ushindi ili watutese kwa namna moja au ingineHabari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi.
Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi.
Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala.
Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi:
Kama alikuwamo madarakani atwambie alifanya nini kuondoa kadhia kama hizo.
Kutesa watu, kuteka watu, kuuwa watu au kuwashikilia watu bila kujulikana walipo kinyume cha utashi wao ni kinyume cha sheria na kinyume cha haki za binadamu.
Tutahitaji kujua wako wapi wote waliopotezwa na dola.
Tutahitaji kujua yuko wapi Moses Lijenje. Tutahitaji kujua alipo Luteni Dennis Urio na kwa nini kama yupo anashikiliwa na kuteswa huko aliko.
Aghalabu hao ni kwa kuanzia kwani orodha yote ya waliotoweka itakuwapo.
Uongozi siyo udhwalimu.
Tunayo haki ya kuishi nchini mwetu kwa furaha itokanavyo na uwepo wa uhuru, haki, usawa na demokrasia.
View attachment 1956913
Sio polisi, sio serikali bali ni kile chama kinachomiliki kila kitu ndio kilipora ushindi ili watutese kwa namna moja au ingine
Tanzania hakuna uchaguzi.. na sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura ,, mpaka tuwe na tume huruHabari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi.
Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi.
Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala.
Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi:
Kama alikuwamo madarakani atwambie alifanya nini kuondoa kadhia kama hizo.
Kutesa watu, kuteka watu, kuuwa watu au kuwashikilia watu bila kujulikana walipo kinyume cha utashi wao ni kinyume cha sheria na kinyume cha haki za binadamu.
Tutahitaji kujua wako wapi wote waliopotezwa na dola.
Tutahitaji kujua yuko wapi Moses Lijenje. Tutahitaji kujua alipo Luteni Dennis Urio na kwa nini kama yupo anashikiliwa na kuteswa huko aliko.
Aghalabu hao ni kwa kuanzia kwani orodha yote ya waliotoweka itakuwapo.
Uongozi siyo udhwalimu.
Tunayo haki ya kuishi nchini mwetu kwa furaha itokanavyo na uwepo wa uhuru, haki, usawa na demokrasia.
View attachment 1956913
Tanzania hakuna uchaguzi.. na sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura ,, mpaka tuwe na tume huru
Mateso ya namna hii hayapo kokote katika jamii iliyostaarabika. Haya si ya kufumbia macho.
"Kuunyamazia uovu ni kuubariki kuendelea kuwapo." -- Desmond Tutu.
Hawa ni lazima kwa umoja wetu tuwapigie kelele kweli kweli.
Leo ni kina Adamoo, Ling'wenya, Lijenje, na kina Urio. Kesho itakuwa nani?
Uchumi gani wanasimamisha? Tunataka haki.
Tunamtaka Lijenje akiwa hai.
Aiseew haya ndio wanayofanyia watu?Habari hii iwafikie wote wanaokodolea macho nafasi za uongozi.
Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi.
Hatutaangalia mgombea ni mwanamke au mwanaume. Haki zetu za binadamu hazitakuwa na mbadala.
Kama ni mtarajiwa atuambie atafanya nini kuondoa kadhia kama hizi:
Kama alikuwamo madarakani atwambie alifanya nini kuondoa kadhia kama hizo.
Kutesa watu, kuteka watu, kuuwa watu au kuwashikilia watu bila kujulikana walipo kinyume cha utashi wao ni kinyume cha sheria na kinyume cha haki za binadamu.
Tutahitaji kujua wako wapi wote waliopotezwa na dola.
Tutahitaji kujua yuko wapi Moses Lijenje. Tutahitaji kujua alipo Luteni Dennis Urio na kwa nini kama yupo anashikiliwa na kuteswa huko aliko.
Aghalabu hao ni kwa kuanzia kwani orodha yote ya waliotoweka itakuwapo.
Uongozi siyo udhwalimu.
Tunayo haki ya kuishi nchini mwetu kwa furaha itokanavyo na uwepo wa uhuru, haki, usawa na demokrasia.
View attachment 1956913
Ndio maana mi nasemaga nchi inaweza kuwa na amani bila kuwa na hivi vyombo vinavyoitwa na dolaMbaya sana, lakini ajenda
kama hii haiwezi kuwa ajenda kuu.
Viongozi waovu hawaKiapo cha Kiongozi wa nchi..ni kulinda raia wa Jamhuri..hli ndilo jukuu kubwa no moja. Je Kiongozi mkuu akibarik Unyama huu dhidi ya raia Je hajasalit kiaopo chake?
Haikubaliki kabisa Halii hii kwa pamoja tuikatae.Kumekuwa na tabia mbaya kabisa ya ukatili wa baadhi ya watu katika kutafuta au kushikilia uongozi/madaraka katika Tanzania.
Kwa bahati mbaya sana, wananchi masikini wa mali na fikra wameingia kwenye mtego wa kushabikia unyama huu.
Hii siyo sawa na haikubali hata kidogo.
Kwa mustakabali mwema wa taifa, watu makatili dhidi ya wenzao wapingwe kwa njia zote.
Perfect![]()
AMEN
hata ukimtesa kama hahusiki atakachosema hakitasaidia kitu.Mbinu ya utesaji ni ya kizamani na uathiri wasio husika watu ukiri makosa Ili kuepuka mateso.
Japo mswahili bila kuteswa atoi ushirikiano.
ccm magaidiTatizo CCM