Utesaji wa Dola - Agenda kubwa Uchaguzi ujao

Eee mwenyezi Mungu mwingi wa rehema tunakuomba utuokoe na haya mateso ndani ya taifa letu - wewe ni mwenye nguvu, hakuna linaloshindikana kwako, watu wako wasio na hatia wanateswa na kuumizwa vibaya saana.
 
Amina 🙏
 
Sio polisi, sio serikali bali ni kile chama kinachomiliki kila kitu ndio kilipora ushindi ili watutese kwa namna moja au ingine
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
 
Sio polisi, sio serikali bali ni kile chama kinachomiliki kila kitu ndio kilipora ushindi ili watutese kwa namna moja au ingine

Siamini kama CCM wote wana bariki dhuluma hizi.

Siamini kama Diallo mwenyekiti wa CCM Mwanza anakubaliana na ufedhuli huu.

We hold those three at the top responsible.

Yuko wapi Moses Lijenje?
 
Tanzania hakuna uchaguzi.. na sitapoteza muda wangu kwenda kupiga kura ,, mpaka tuwe na tume huru
 
Mkuu uliyaona haya Aya ya pili pale?

"Ifahamike kuwa bila tume huru hakuna uchaguzi."

Kumbuka tume huru haitakuja yenyewe.
 
AMEN
 
Aiseew haya ndio wanayofanyia watu?
Hizi pesa wacha wale
 
Haikubaliki kabisa Halii hii kwa pamoja tuikatae.
 
Mbinu ya utesaji ni ya kizamani na uathiri wasio husika watu ukiri makosa Ili kuepuka mateso.
Japo mswahili bila kuteswa atoi ushirikiano.
 
hata ukimtesa kama hahusiki atakachosema hakitasaidia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…