dlamini
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 368
- 119
mkuu nini unachokielewa kuhusu tiss kama siyo maneno ya kuokota ndiyo unayotuambia uaweza kubainisha namna tiss ya nyerere na ya jk inavyofanya kazi mkuu acha kutuletea nadhalia tunataka fact mkuu siyo maneno.
hamna wanalolijua kuhusu tiss... Kazi yao ni kuamini na kusambaza propaganda za chadema. Mimi navyojua wale jamaa wa tiss ni watu makini sana katika kazi na ni wazalendo waliotukuka katika kila hali. Ila kwakua mengi wanajua wao wenyewe, huyu mtoa hoja atueleze namna walivyofanya kazi wakati wa nyerere na sasa wanafanyaje kazi ili tujue... Sio tu kuja hapa na kutuambia mambo general tu. Leta facts hapa.... Acha porojo