siku hizi utetezi wao wanadai kikwete anapelekewa taarifa na data zote lakini anagomea ushauri wao!kama kungelikuwa na TISS unayoisema nisingeona Kanda za Ustazi Ilunga leo pale msikiti wa kribu na Hindu Mandali na Rais angelijua kuwa kuna udhaifu mkubwa katika utawala wake unapelekea watu waamini hawezi kukemea udini.