Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Wewe unajua kazi zinazofanywa na TISS? Au unashabikia tu porojo za CHADEMA na story za mitaani. Hamna mnalolijua kuhusu ueledi na kazi zinazofanywa na chombo hicho that is why mnabakia kutunga mambo ya uongo juu ya TISS kwakua mnajua hawana kawaida ya kujibizana na vyombo vya habari. Wewe hapo ulipo unaishi kwa amani na kufanya siasa zako za CHADEMA Kwa amani ila hujui hiyo amani imepatikanaje na inakua maintained vipi. Mtasema sana tuuuuu ila USILOLIJUA NI USOKU WA GIZA.... SHAME ON YOU!
Mkuu kwenye maneno yako kuna ujumbe mzito ndani yake. Lakini ukumbuke kuwa Tanzania ya sasa kuna ambo yanaonekana ambayo watu wanajiuliza kimetokea nini TISS? Kwanini wezi wanakuwepo na wanajulikana hakifanyiki kitu? Kwanini inafikia hadi rais anakuwa na mawaziri vihiyo na wababaishaji, inakuwaje mpaka majambazi kutoka kenya yanaingia Tanzania na kusamabaratisha benki kiulaini, inakuwaje kuna kuwa na uhunji uhuni wa ajabu mpaka watu wanazungumzia udini, ukabila, uzanzibar na ubara, unity, harmony and security are all in tatters, what happened?
Tunajua kuwa TISS ina excellent person and can do excellent work, tena hata kwa sasa hapa tulipo naweza kusema lone wolves ndani ya TISS wamejitahidi sana walau kuikeep Tanzania hapa ilipo. Swali ni what has gone wrong?
TISS iliyoweza kumtikisa mkoloni na kaburu, sasa inaanza kuhangaika na shutuma za kung'oa watu meno, what has happened. Mkuu wewe unajua ni vema ukatudokeza.