UTETEZI WA LULU: Kanumba alitaka kunibaka...


hajamaliza form four ameacha shule form three
 
inasikitisha kuona watu wanatetea uzinzi.. tena na watoto!!!
 
Watajijua na mauchafu yao, mimi ninashika hamsini zangu. Maana kuna Mengi sana hapo, wala sina muda nayo.
 

adhabu zenu nimezibandika hapo chini......ni kifungo cha maisha tu hakuna utetezi kutojua umri au sheria.......igonrance is not and has never been a defence................DPP anatakiwa akukamate wewe na huyo waziri mchafuzi wa mazingira.lol

 

afya ya mwendazake na cocktail za ARV plus pombe kali usiku na mchana............
 

Hivi kwa nini yule mdogo wake SK hausishwi kabisa na hii kesi
 

Haswaaaa!
 

hivi mwizi akikamatwa akijetea siku iba pekee yangu ni utetezi au anakiri kuwa kweli kaiba..........?????????
 

nipo nawe mheshimiwa
 


Ruta mm sijakuelewa, ina maana Lulu alibakwa??? Kama ni kweli kwa nini aliondoka na kurudi mwenyewe kwa mbakaji??? Naomba unifafanulie tafadhali. Hii inanichanganya mwenzenu.
 

Inanikumbusha kesi ya Trevor Martin pale special prosecutor anaposema tunafanya kazi bila mashinikizo wala pledges za watu....
 
Nataka niunge mkono hoja kwamba, kwa mtazamo wa kisheria, Lulu ana nafasi kubwa sana ya kushinda kesi hii, 99%. Na itakuwa ni kutoona mbali kwa upande wa mashtaka ikiwa wamemfungulia kesi ya mauaji (murder) badala ya maauaji ya kutokukusudia (manslaughter), kama ilivyoelezwa tayari.

Jambo jingine la msingi ni kwamba it does not matter kama walikuwa na uhusiano miezi sita au miaka sita. Lulu akisema alitaka kubakwa katika mazingira ambayo Kanumba alikuwa yuko uchi na amekunywa/amelewa, hoja hii ina mshiko sana. Kumbuka hata mkeo anaweza kukufunglia mashtaka ya kumbaka, kwa sababu mwanamke yeyote, mkeo au vinginevyo, akisema "no" ni lazima uheshimu uamuzi wake. Ukilazimisha umebaka, na huwezi kujitetea kuwa nilishatembea naye mara nyingi zaidi ya miaka saba au miezi sita, au sijui eti marafiki zetu wanajua na wazazi wetu walihalalisha! Huo ni utetezi kwenye vikao vya hukumu vya kijijini!
 
Umri wake utata mara 17 mara 18. Kwenye gazeti la mwananchi jana wameandika alichosema kuhusu simu aliyopigiwa kutoka kwa mpenzi wake mwingine tena maarufu. Mwisho wa siku ukweli utajulikana

Ilikuwaje alifanya birthday party ya kutimia 18? Nakumbuka kusoma kwenye magazeti, au ilikuwa ni kujikweza tu?

Na alipata vipi driving licence under 18?
 
lulu hahitaji kuthibitisha kuwa alibakwa bali mwendazake alitaka kumbaka inatosha na hao taarifa ya hao madaktari hawahitajiki

Rutashubanyuma naona sasa unachanganya mambo kabisa yaani unahitimisha kabisa kubakwa unashahidi gani? Hii ndiyo tunaita speculation.
 
LULU NDO ALITAKA KUMBAKA KANUMBA NA BAADA YA KANUMBA KUGOMA LULU AKAMTANDIKA RUNGU LA KICHWA MAREHEMU AKAZIMIKA kwanini nasema hvyo 1. LULU alienda kwa Kanumba usiku wa manane 2. moja kwa moja alizama chumbani 3. Baada ya kanumba kuingia bafuni lulu Alivua nguo zote ili kanumba amkute uchi ashawishike.
 
kaka nimewakubali wanasheria wa jf,
kwanza kwa hoja mnazotoa kila mmoja,
pili kwa kutuelimisha tusio weledi wa sheria na,
tatu mnaonaje tukiifungulia mashitaka serikali ya tanzania kwa kuruhusu bidhaa feki ziingizwe nchini ilihali kuna watu wamepewa dhamana ya kusimamia na kuhakikisha kuwa bidhaa hizo haziingii nchini...!
 
Huo ni utetezi wako unaobuni kunogesha mjadala. Kwani huyo mhuni alikwambia lini kuwa atakuja na utetezi huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…