pia tusisahau kuna mawasiliano ya simu. Halafu uende kwa mtu saa 6 usiku na una 17 yearz. Na ile party ya mwaka jana kufikisha miaka 18 ataielezeaje mkuu?
ripoti ya daktari inasema ubongo wa kanumba ulitikisika na kusababisha kukosa pumzi na kumsababishia kifo, na sbb za ubongo kutikisija zaweza kuwa kuanguka,kugongwa na kitu kizito kichwani nk. Na madaktari hawajaeleza kuwa kanumba alidondoka au aligongwa na kitu kizito hvy msijifanye mahakimu wa kusema uongo.Ripoti ya madaktari inasema marehemu hakupigwa na kitu chochote huu utakuwa ni ushahidi wako mpya sijui kama ukiitwa mahakamani ukaithibitishie mahakama utakuwa tayari mkuu.
kama penal code inazungumza n miaka 16, basi ana kesi ya kujbu, na ikijtetea in a self defnc n sawa tu, bt we cnt appeal or judge a person n emotion..we hv to practc the "law".
Jamani naomba tutende haki mleta thread ameleta changamoto, sheria jamani zinachanganya sana na zina double standard kwa mujibu wa CPA mtoto ni yule ambaye hajafikisha miaka kumi na sita, lakini wakati wa kupinga kura sheria inasema mtu mzima ni above 18yrs, this is contraversal laws, lakini miaka haiondoi kosa la kubaka hata siku moja hata mkeo unaweza kumbaka, lakini wasanii wasimhukumu Lulu kwani hiyo si kazi yao kama wanataka kutenda haki basi inabidi washiriki kumnasua Lulu hata kwa kumuwekea wakili mahiri lulu, kwani naye mchango wake ni mkubwa katika jamii na bado tunauhitaji kama alivyo mwendazake, kitu alichofanya Lulu ni self defence, kumbuka mdogo wa kanumba aliitwa na Lulu kutoa msaada kwa kaka yake hii ni dhahiri hakuwa na nia ya kuua hata polisi Lulu alienda mwenyewe wala hakukamatwa. Hivi hebu tujiulize kama Lulu angezidiwa nguvu ingebidi afe yeye sijui wasanii wa filamu ndio wangefurahi.
Mi nipigilie msumari hapo hapo,wanasheria wetu humu kumbekeni mahakamani hakuna haki kuna sheria,asanteni sana,endeleeni kulumbana kwa faida yetu sie maamuma wa sheria lakini waumini wa haki mabayo hupatikana kwa mungu tunilipenda sheria nikiwa chuo...ila nimeachana nayo kwa jambo moja tuu...kumtetea mhaifu kuwa mwema na mtuhumu kuwa mwalifu....nyie endeleeni....mie in other field now....tunawasubiri maadvocate wetu...
kutokana na maelezo ya baba mzazi wa lulu, lulu kazaliwa tarehe 17/09/1995, na amestushwa kusikia mwanawe ana mahusiano ya kimapenzi na kanumba ambaye alikuwa kama mwalimu wa lulu, bora wakaache tu. habari kamili hapa MICHUZI: Michuzi Blog Exclusive: Baba mzazi wa lulu afunguka, aomba haki itendeke katika kesi ya binti yake
DPP utendaji wake ni maruerue tu wakati umefika wa kuangalia ni kwa nini wale walioshindwa darasani ndiyo tunawasukuma waende polisi na matokeo ndiyo haya haki zetu zinapindishwa kwa sababu DPP mwenyewe na wasaidizi wake ni vilaza............hawana uwezo wa kutafakari hata kidogo na nionavyo kuna watuhumiwa weggi wa kesi za mauaji wengi wako mahabusu ambapo hawastahili kuwa huko kwa kulingana na ushahidi uliopo........
Mi nipigilie msumari hapo hapo,wanasheria wetu humu kumbekeni mahakamani hakuna haki kuna sheria,asanteni sana,endeleeni kulumbana kwa faida yetu sie maamuma wa sheria lakini waumini wa haki mabayo hupatikana kwa mungu tu
HAPOOOOOOOOOOO...sasa unapoelekea ni kujishusha hadhi ndugu yangu! unaifahamu elimu ya DPP? unafahamu uwezo wake in conducting cases??? acha ushabiki wewe..
umemtukana baba yangu mdogo aliyeingia polisi mwaka 1977 baada ya vita vya Iddi amin..kutokea JKT..alifaulu kwa daraja la kwanza form six, akaenda kusomea sheria UDSM akapata second class upper 3.8GPA na bado yuko polisi kama unataka sana nitakupatia na jina lake ujue what he has achieved in there...tafadhali ndugu unakoelekea..chonde chonde|!!! endelea tu na kesi yako na lulu but this on police...SITAKUBALIANA NALO!
Ukiangalia kwenye mahojiana ya kipindi cha Mkasi, Lulu alitamka waziwazi ana miaka 18, iweje leo aseme tena ana miaka 17? Na je, mtu mwenye umri wa miaka 17 anaruhusiwa kuingia club na kuendesha gari? Amekiri kuwa ugomvi wake na Kanumba ni baada ya yeye kupigiwa simu na mpenzi wake mwingine tena ni kigogo mkubwa serikalini, je huyo kigogo naye hakujua Lulu ni 17? Ndugu yangu Lulu ana yakujibu, inasikitisha binti mdogo kujiingiza kwenye masuala ya ngono na dhambi siku zote huzaa mauti. Amevuna alichopanda.
Ipo kazi. Brain Concussion inasababishwa na kujigonga kichwa. Je Kanumba alianguka mwenyewe? Alisukumwa? Alipogwa?Concussion of the brain: A traumatic injury to the brain as a result of a violent blow, shaking, or spinning. A brain concussion can cause immediate and usually temporary impairment of brain function such as of thinking, vision, equilibrium and consciousness Source: Concussion of the brain definition - MedicineNet - Health and Medical Information Produced by DoctorsMkuu jipange uje na hoja nyingine.Mkuu Allien Brain Concussion haisababishwi na kujigonga kichwa tu.... hata ukinywa pombe kupitiliza inasababisha kuongezeka kwa msukumo wa Damu mwilini kiasi cha kusababisha mtikisiko mkubwa ambao mishipa ya Damu au mishipa inayoshikilia ubongo kupasuka/kukatika na hatimae mtu kupooza au kufa Swali je SK hukukutwa na ulevi?.... na kama ni hivyo LULU will be free.......
kumbe mtu akinywa pombe ubongo unavibrate?Ipo kazi. Brain Concussion inasababishwa na kujigonga kichwa. Je Kanumba alianguka mwenyewe? Alisukumwa? Alipogwa?Concussion of the brain: A traumatic injury to the brain as a result of a violent blow, shaking, or spinning. A brain concussion can cause immediate and usually temporary impairment of brain function such as of thinking, vision, equilibrium and consciousness Source: Concussion of the brain definition - MedicineNet - Health and Medical Information Produced by DoctorsMkuu jipange uje na hoja nyingine.Mkuu Allien Brain Concussion haisababishwi na kujigonga kichwa tu.... hata ukinywa pombe kupitiliza inasababisha kuongezeka kwa msukumo wa Damu mwilini kiasi cha kusababisha mtikisiko mkubwa ambao mishipa ya Damu au mishipa inayoshikilia ubongo kupasuka/kukatika na hatimae mtu kupooza au kufa Swali je SK hukukutwa na ulevi?.... na kama ni hivyo LULU will be free.......
Mentor.......elimu haina maana kama huwezi kuitumia kuboeresha maisha ya jamii unayoishi mengineyo yote uliyoyaongelea hayana sababu ya kujibiwa ............