Inawezekana kabisa wakati tukio hili linatokea ulikua kijijini na hujaanza kutumia hata simu Janja.
Inawezekana kabisa tukio hili wewe unasimuliwa tu hasithi na kuona picha na hukupata actual experience ya kilichotokea ikiwemo joto la kisiasa la wakati wa mwenda zake!
Nikuulize: unajua kama Makonda alizuia tamasha la Fiesta la Clouds kutokana na bifu Hilo la Ruge, mpaka Magufuli akaingilia kati na kutuhusu tamasha lifanyike,
Unajua kwamba Magufuli aliwapatanisha Ruge na Makonda mkoani Tanga kwa lazima akawashikisha mkono?
View: https://youtu.be/T3v7MFtVyyg?si=1OsUY6KH90blJfUH .
Kama haya Yote huyajui utakua una uwendawazimu au ulikua Bado shule za kata unakariri periodic table,
Na kama hujui kwamba Makonda aliomba ridhaa kwa Rais Magufufuli kuwashughulikia walosoaji wake. Utakua Bado ulikua una ukoko miguuni au sagamba!
Na kama hujui sababu ya kuvamia clouds ilikua ni bifu kati ya Bishop Gwajima na Albert Bashite kuhusu Binti aliyesadikika kupewa ujauzito na bishop na Bashite aishinikize clouds kupitia kipindi Cha shilawadu waiweke hadharani, utakua ulikua mbwind