Kwanza tu mpaka hapa hakuna hata hoja moja niliyo ijibu kwa mujibu wa imani yangu.Siwezi kukosoa coz unatumia kitabu ambacho wewe una amini hakuina shaka leta hoja kifalsafla ikosolewe kifalsafla , mambo ya dini zenu nitakosoaje akati mmeambiwa ni sahihi kwa matumizi yenu?
Nimekuuliza swali, wewe unae dai umepatia sasa onyesha kupatia kwako kuko wapi ?Kukosea kwangu ni mtizamo wako ila mimi nionavyo nipo sahihi jibu swali nijue.
Sisi tunajua mpaka sababu za kuwepo hizi dini nyingi na misingi yake na uongo wa dini husika.Wewe umeona tu utofauti wa idadi vitabu kuwa ni tatizo , hauoni utofauti wa idadi ya din , kuna dini zaidi ya 40000 kila dini one ego yake , malizeni tofauti zenu kwanza mpate din moja yenye majibu sawa ndo uje upinge MUNGU ni energy au super intelligence
Kila mtu akili yake ipo tofauti umejuaje hayo unayozungumza yanapatana na akili ya kila mtu ? Sioni cha kukujibu coz sijaona mahali umekanusha MUNGU ni energy au super intelligence , mm nmeona wewe umeweka tu mahubiri ya dini yako ili mimi nione ni nzuri zaidi ya nyingneKwanza tu mpaka hapa hakuna hata hoja moja niliyo ijibu kwa mujibu wa imani yangu.
Bali nimekosoa hoja zenu kwa kutumia uhalisia, mawanda ya lugha na elimu ya uhakiki wa habari.
Mimi Falsafa naijua siyo kwa kuambiwa bali kwa kuisoma, najua madhaifu yake na najua msingi wake ndiyo maana hapa nahoji kwa uhalisia na hoja za kiakili.
Si mliambiwa ninyi mna dini yenu na wao wanadini yao , unaonaje ukiyaishi hayo maandiko mbona yapo kma kuepusha migongano kama hyo unayoitaka wewe?Sisi tunajua mpaka sababu za kuwepo hizi dini nyingi na misingi yake na uongo wa dini husika.
Kulingana na asili ya hizi dini, jambo hilo haliwezekani na wala si lazima.
you mean awaken right?Awalking is not for every one , nilitunza huu ujumbe wako
Yahyou mean awaken right?
Awaken not for every one , nilitunza huu ujumbe wako
Maana ya aya iliongelea kuabudu na si kuwaacha watu wakosee, au kuuficha ukweli.Si mliambiwa ninyi mna dini yenu na wao wanadini yao , unaonaje ukiyaishi hayo maandiko mbona yapo kma kuepusha migongano kama hyo unayoitaka wewe?
Kwani atheist mmewahi kukubaliana kutowepo Mungu? Kama jibu ni ndiyo hawa Academic Atheists, Activist Atheist/Agnostics, Seeker Agnostics, Antitheists, Non-Theists, and the Ritual AtheistsKwa hiyo kupitia formula yako ya hesabu ni wazi kwamba njia hiyo inathibitisha Mungu Yehova na habari za utatu mtakatifu ambao haukubaliki na jamii ya kiislamu?
Najua point yako ilikuwa kuweka hoja ku challenge atheists lakini since umemtaja Yesu na utatu umejikuta upo katika nafasi ya kujibu maswali ya waislamu wenye itikadi kali
Kwa hiyo sio atheists tu ambao watapinga kanuni yako, kuna waislamu pia. Hiyo inakupa tafsiri gani?
So unashaurije?
Kwanini tusiwape nafasi nyinyi kwa nyinyi believers mkae chini mfikie muafaka wa pamoja kukubaliana jibu moja ambalo mtasimamia kwa pamoja kwenye mjadala dhidi yetu?
Huwa mda mwingine nahisi hizi battle za asili ya uhalisia/Mungu/Uwepo na kila kitu zitaendeleaga milele na milele.Kwani atheist mmewahi kukubaliana kutowepo Mungu? Kama jibu ni ndiyo hawa Academic Atheists, Activist Atheist/Agnostics, Seeker Agnostics, Antitheists, Non-Theists, and the Ritual Atheists
Wanatokea wapi?
Ndo ujue kwamba binadamu hatutokaa tukubaliane kwenye kitu chochote kile .
Wazungu wana msemo unasema: Let us not get caught up in semantics.Hiki ulichokiandika kimemili katika falsafa zaidi kuliko uhalisia. Yaani umejibu swali bila kujua wazo ni nini, hii imekupekea kukosea katika kujibu swali.
Hujaonyesha mimi nawezaje kuwa wazo ? Mimi ni nafsi ambaye nimeundwa au ni mjumuiko wa roho na mwili.
Labda tujadili kwanza maana ya tamko wazo. Sababu hiki mnachokiandika kwanza ni matumizi mabaya ya tamoo wazo, kwa maana lugha inakataa matumizi haya ya tamko hili wazo kulipa sifa za uhai yaani kiumbe chenye akili.
Naomba utusaidie au unisaidie kitu kimoja, naomba unipe maana ya tanko "Wazo".
Philosophy faster definitions: Tafsiri za harakaharaka😂😂Hapa itabidi unipe ushahid au kuonyesha wapi falsafa imekusaidia kuujia ukweli na uhalisia. Maana yake ingekuwa hivyo basi kina Plato, Socrates, Aristotle, Pythagoras wote wangepatia katika kuelezea chanzo cha ulimwengu na maisha, au wana Atomu kadhalika.
Nachokijua mimi kuhusu falsafa na Wanafalsafa ni kuwa walikuwa na maswali sahihi ila walikosa njia za kuwapa majibu sahihi.
Siwezi kusema nikakosa majibu, bali kutokana na kwamba uhalisia umeambaa uwanda mpana nitasema nikayapata majibu kwa Mungu☺Kwa hiyo kwako wewe wazo la Mungu unalipata kupitia assumption baada ya kujiuliza maswali kadhaa ambayo ukakosa majibu?
Paragraph ya mwisho nimecheka sana, difinisheni ya kuvurugwa na kuvurugikwa😂😂.Cheka ujinga wako mi nakuelekeza unaniona Joker
Mimi nikosoe tena?
Au umesahau wewe ndio ulikuwa una hilo jukumu la kukikosoa biblia na tumefika hapa kwasababu hujataka kufata kanuni zilizowekwa?
Hiyo paragraph ya mwisho hapo ni dua ukituombea kwa Allah? Una hakika amejiunga JF a umeamua kujichosha tu?
Atheists unawahusishaje na hayo makundi mengine?Kwani atheist mmewahi kukubaliana kutowepo Mungu? Kama jibu ni ndiyo hawa Academic Atheists, Activist Atheist/Agnostics, Seeker Agnostics, Antitheists, Non-Theists, and the Ritual Atheists
Wanatokea wapi?
Ndo ujue kwamba binadamu hatutokaa tukubaliane kwenye kitu chochote kile .
Ukisema umepata majibu kwa Mungu hilo ni jambo la mwishoni ambalo lilitanguliwa na wewe kujua Mungu yupoSiwezi kusema nikakosa majibu, bali kutokana na kwamba uhalisia umeambaa uwanda mpana nitasema nikayapata majibu kwa Mungu☺
Mkuu unaweza kuhisi haya mambo yametenganaaaa kumbe wala. Ni kitu kimoja kinachoendelea. Ukitaka watu watawanyike muite mfizikia, tena yule wa experimental physics kabisa muulize ni kwavipi kuna phenomenon kama;
Why does observation collapse the wave function
Wanaokosa majibu hapa ni ambao hawajakubali kuitambua cosciousness, ila walioitambua wanayo majibu tayari. Sema wewe unaweza kuwashutumu kusema wamekosa majibu basi ndo wakaamua kurukia 'concepts' ambazo hazipo kutokana na uvivu.
Kwa kweli mzeebaba hapo kabla kulikuwa na situation tata: Nilishakuambia na mwanzo hakuna sababu kabla ya hii point zero, in fact hii pointi ndiyo inadefine sababu zote mbele yake.Ukisema umepata majibu kwa Mungu hilo ni jambo la mwishoni ambalo lilitanguliwa na wewe kujua Mungu yupo
Swali langu limezungumzia kabla hujamjua Mungu, ulitumia njia gani kama sio kukosa kwako majibu ya maswali ambayo yalikupelekea ufikirie kipo kisababishi ambacho ukakipa jina la Mungu?
Naanzia hapa kwa sababu hili umelileta kwa ufupi. Mahubiri ni nini ? Je mahubiri hayawezi kuwa uhalisia au lini mahubiri hayajawahi kuwa uhalisia ?A lakini ukabaki kuwa kweli. Safi sana kwa kumuelekeza @Kisai asiwe analeta mahubiri halafu anang'ang'ana ndio uhalisia.
Kivipi ?Na hata kama kungekuwa na tafsiri rasmi za hivi 'vitu' vilivyo katika hali za ki-wazowazo bado lazima tutapwaya kwa sababu sio vitu. Vitu kama akili, utambuzi, wazo, idea, concept havikamiliki bila kupelekea
Nani haja tafsiri vizuri tamko hili ? Kwangu mimi ni kinyume nimeshaelezea zaidi ya mara mbili maana ya tamko "AKILI" tena kwa maana yenyekujitosheleza.Moja kati ya vitu hatujavitafsiri vizuri ni akili/intelligence na utambuzi/consciousness hivi ndivyo ninavyovizungumzia kila ninaposema wazo hai.
Mlitumia marejeo gani katika huo uchambuzi wenu huo ? Hiyo nishati mliijuaje na inaitwaje au ina sifa gani ? Sababu maelezo yako haya. yameishia juu juu.Katika kuichambua na wenzangu tukakuta kuna nishati fulani inayopower mawazo yaliyo katika hali hiyo. Ni kama entity moja tu hivi.............. ndicho kinachozungumziwa humu.
Nafsi ni roho na mwili. Roho ni kitu kisocho onekana chenye mafungamano ya moja kwa moja mwili na kuufanya mwili kuwa hai.AnyaKwani nikikuuliza unaposema wewe ni nafsi- hicho 'kinafsi' kipo katika hali gani?
Hili ni kosa sababu umeandika ya uongo na kinyume na uhalisia.Nikisema vipo kiwazowazo roho ikiwa in essence wazo pure toka kwa Mola na nafsi ikiwa ni wazo hai unaloendelea kulijenga kwa mchakato unaoitwa kuishi na kuwa 'being'. Hapo vipi?
Hujajibu hoja yangu ya msingi, umesema ya kuwa Falsafa inamsaidia mtu kuujua ukweli, nikajenga hija ya kuwa tuonyeshe kwa namna gani falsafa humfanya mtu kuujua ukweli na utupe ushahidi. Hili ndiyo swali langu la msingi. Sasa ulichokifanya wewe ni ndiyo kama wanachokifanya Atheists kila silu kukimbia hoja. Mambo hayaendi hivyo.Waliotutangulia wakubwa ikiwamo mitume na manabii wamekuwa wakituelekeza elimu ya uhalisia upojepoje - moja kati ya tafsiri ya wanafalsafa.
Popote ninapoona mtu anajaribu kuuelewa ukweli wa uwepo wetu ulivyo naona anatumia falsafa....... kuna muda tunakosa vipande fulani vya ukweli basi Mola anatupatia mafunuo kuzikamilisha falsafa zetu tunazoendelea kujifunza. Inaweza kupitia kwa Roho mtakatifu aliye ndani yako, kupitia mtu mwingine ambaye tutamuita nabiy/mtume. Falsafa ikimtambua Mungu hiyo huitwa dini [my take hii sentensi ya mwisho]