nimesoma nimemuelewa mmj mkuu hayo yote yanatokana hii kitu "emergency power back up"-hapa ndipo ambapo waweza wakaamua kupingisha sheria ili wanunue mitambo hewa na zamu hii tutegemee zaidi ya richmomd . Tutaenda tutazunguka lakini ukweli ni kwamba watawajibishana mpaka raisi wao lakini .strategically wamejipangaje kuhusu kumaliza hili suala la mgao ?. Infinite solution ni serikali iliyopo istep down tupate vichwa vingine vireform hii nchimkuu hapo kwenye red bold. Mkjj anamaanisha rais atangaze "hali ya hatari" ili apate madaraka ya kutatua hili tatizo yeye kama yeye; maana akitanga hilo, any other laws seizures!!
Kutokuwepo au kuwepo mtu wa kulitatua tatizo its assumptions ambazo nadhani sio vema to deal with assumptions...Na ukweli wa mambo ni kwamba hakuna mtu anayejua jinsi ya kulitatua hili tatizo kwani kama angekuwepo ama wangekuwepo basi lingekuwa limeshatatuliwa. Nani anabisha? Kama yupo anayebisha na ani prove wrong basi kwa kulitatua na kulifanya liwe historia. Simple as that!!
Tutaenda tutazunguka lakini ukweli ni kwamba watawajibishana mpaka raisi wao lakini .strategically wamejipangaje kuhusu kumaliza hili suala la mgao ?. Infinite solution ni serikali iliyopo istep down tupate vichwa vingine vireform hii nchi
Tateeee naneeeee
Kutokuwepo au kuwepo mtu wa kulitatua tatizo its assumptions ambazo nadhani sio vema to deal with assumptions...
Jambo la muhimu ni kwamba when you step up to do a job, you are required to do the job.., ukishindwa then you step down.., hapa tukianza kuwapa watu leeway ya kushindwa kazi eti kazi ni ngumu na hakuna mtu wa kuifanya then we are heading for disaster...,
kama hakuna mtu wa kuweza kufanya kazi basi ni bora hio kazi ifutwe au wapewe watu zaidi ya mmoja kufanya hiyo kazi na sio kulimpa mtu pesa wakati he is doing nothing at all
Mwanakijiji unataka kubariki utawala wa kiimla kisheria! Wameshindwa kulitatua tatizo kidemokrasia ndio wataweza kidikteta? Kwa mujibu wa hii Katiba kuukuu isiyo na uhalali wa wananchi unayoitetea humu Rais tayari ana madaraka makubwa na ya kutosha kulitatua hilo tatizo bila kutangaza hali ya hatari.